Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

Naminipo,
Kwani kwenye wanasiasa hakuna wasomi?Jaribu kufuatilia ni nafasi ngapi za kisiasa zimeshikiliwa na wasomi na wamefanya nini?
 
Viwanda mliuza nyie, huyo msomi anawaza nianzishe kiwanda cha nini wakati siku watavitaifisha.

Nyie nyie ndo mmeila hii nchi.

Hongera sana Rais Magufuli umekuja kuifufua nchi yetu.
 
nilitegemea mtu akiwa na elimu kubwa awe solution katika jamii, PHD, Dr na professors you are so useless in the country, hakuna mchango wowote zaidi ya status ya elimu kubwa, hakuna ugunduzi wa kitu chochote, mnacho weza ni kufundisha theory chuoni, no discovery at all, you are useless, poor are you.

nakutana na hawa watu, tena kwa wingi wao nao, wanasakama ajira, tena ajira kwa watu wasio na elimu kubwa,

shame..
 
Nani kakwambia kuwa kila dokta au profesa lazima afundishe chuo.Halafu serikali yako ya kipuuzi haitambui thamani ya wasomi kwa kuwa wao mtaji wao ni masikini na wajinga wasio na elimu.Hivyo basi hata hao wasomi inabidi waendane ya serikali kueneza ujinga lasivyo utafukuzwa kazini au kumiminiwa risasi kama Tundu Lissu.

Cha kufanya nini,ni kuondoa serikali ya kipuuzi ambayo wajinga na masikini ndio mtaji badala ya wasomi kama hawa.
Ukichukua thesis na machapisho yao ni mazuri kuyafanyia kazi kuikomboa nchi lakin nchi inayafungia kabatini na hawayafanyii chochote cha maana.Miradi mpaka isimamiwe na WB ndo inakuwa na tija.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Genge la wahuni ccm wamejitwalia mamlaka na kuhakikisha kipaumbele chao ni kubaki madarakani
Katika mazingira haya "wasomi" hawana nguvu tena ya kutumikia taaluma zao zaidi ya kutumia taaluma zao kutumikia siasa
Vinginevyo ukiwa kinyume cha matakwa ya ccm unapotezwa na "usomi" wako
 
Back
Top Bottom