Wasomi wa Tanzania, kama mtu mmoja Mohandas Gandhi aliweza; sie tunashindwa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasomi wa Tanzania, kama mtu mmoja Mohandas Gandhi aliweza; sie tunashindwa nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Going Concern, Feb 22, 2012.

 1. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  nimekua nikisoma post za watu wengi hapa jamii forum ambao naamini wengi ni wasomi wazuri sana na hongereni kwa njinsi mnavyoumia na uongozi mbovu wa mafisadi wetu.......

  kunajamaa kapost habari njinsi uingereza wanavyomuona raisi wetu kama tourist, mbaya zaidi habari iyo imechapishwa kwenye gazeti la uko kwao. wanataka kustopisha misaada yote kwa Tanzania kwani kwa kipindi cha miaka 50 Tanzania imepokea kiasi cha U$ 2.89 billion kutoka uingereza pakee lakini still nimaskini wakutupa. kwa aliyesoma habari hii najua kaumia kama mm na mbaya zaidi tunachekwa watanzani.....

  Ufisadi, uongozi mbovu, uonevu wa polisi, njama za kuuza nchi, mchezo wa kupeana uongozi kwa watoto wao mambo yote aya watu wasomi ndo tunapata nafasi ya kuyasoma na kuona mchezo tunaochezewa. wadogo zetu wao ni kuimba bongo music, bibi na babu kijijini wanasubiri siku za kufa kwani wameshakata tamaa kabisa......

  jamani wasomi wa Tanzania, mnaojua ****** unaofanyika Tanzania, hii nchi iko mikononi mwetu, 2015 ni mbali sana, tunaweza Kuwait na tukachezewa kekundu, mda ndo huu, tufanyeje ndugu zangu, mi nimechoka, natamani kufanya mambo ya Libya, sisi ndo tutakomboa watanzania wenzetu.

  I love you Tanzania.
   
 2. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  posho ndizo zinazo maliza hii nchi jamani.

  yaani uwezi amani kwenye pocho ufisadi cha mtoto.
   
 3. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 457
  Trophy Points: 180
  Mimi naamini kabisa kwamba kama Watanzania hawataweza kujibu hili swali hapa chini hata upinzani utashidwa kutatua matatizo.

  Swali: Je Watanzania wanataka Serikali ifanye mambo gani kwa jamii na isifanye mambo gani kwa jamii?

  Kwa mawazo yangu kama kila tatizo watanzania watataka litatuliwe na serikali hakuna serikali itakayofanikiwa maana Tanzania haina uwezo huo. Vilevile sithani kama mfumo wa sasa wa Utawala utaruhusu maendeleo labda tuwe kama Rwanda ambayo Raisi pekee ndiye msamaji na mwamuzi wa mwisho (Tanzania haitawezekana maana tunapenda demokrasia) au Tuwe demokrasia kama ya sasa lakini serikali ifanye vitu vichache
   
Loading...