mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,794
- 105,915
Binadamu.
Acha tuendelee kuzarau chemistry, mimi naona chemistry ndio kila kitu kwenye ugunguzi wa dawaNi muda mrefu pia serikali kupitia wizara ya Afya haija ajiri Wakemia sijui kwanini maana hao wakikaa na wafamasia meza moja hakishindikani kitu.
Watapata tu, hata kama hawatapa lakin wanajishughurisha, sisi elimu zetu mbona hazitumiki
Tathmini ipi wakati kila kitu kipo wazi kuwa sisi kila kitu tunatafutiwa na serikali za wazunguPengine una wazo zuri ila hukulifanyia tathmini kabla ya kulitupia humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na nchi za kiafrica mkuu, wala hizo usiziige huko China hadi wanafunzi wapo wanafanya utafiti wa dawa sis je tuko wapi, elimu yetu ni niniUngetuwekea mfano, Rwanda, Kenya, Uganda, DRC, Misri n.k. wamegundua dawa gani nasi tujifunze.
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Sasa ndio wabadirike waanze Sasa, sio kusubiria dawa za wazungu wakati tuna miti kibao, tuna mimea kibao unaweza fanya extraction maabara ukapata dawa au unaweza pia ku formulate dawa kwasababu formula ya kirusi si inajulikana, unaweza ku simulate ukajua unaanzia wapi formulation yako . Sina hakika kama wanaijua hata formula ya kirusiWashawahi gundua dawa yoyote ile kabla?
Lililotabiriwa linatimia... Huwezi kupingana na unabii, hata uwe kichwa ngumu vipi ila mwishoni tutaelewa tu. Njoo uchukue dunia yako Bwana.
Mimi sio mtoto Mkuu ni mtu mzima aseePascal Mayalla,
Hawa watoto ndio watetezi wa serikali huku jukwaani, wanaongea vitu vya ajabu!
NB: huenda nitakuona asubuhi Star TV kwenye jicho la habari ukikata issues.
Ngoja tusubiri kwa kuwa miundombinu ya Afya ishakuwa vizuri sasa hivi nadhani ni wakati wa serikali kuajiri Wakemia na wafamasia angalau kuwe na kitengo cha kutengeneza dawa maana ni rahisi,viwanda vya dawa tunavyo tayari.Tuwatumie wataalamu wetu.Acha tuendelee kuzarau chemistry, mimi naona chemistry ndio kila kitu kwenye ugunguzi wa dawa
Watapata tu, hata kama hawatapa lakin wanajishughurisha, sisi elimu zetu mbona hazitumiki
Sindano tu ya kuwachoma dawa wagonjwa imewashinda kutengeneza tunaagiza nje ya nchi, chanjo/dawa ya corona ndiyo uvumbuliwe Tanzania!! Acha masihala shegh wangu.Nimefutilia mataifa mbalimbali kupitia mitandao naona madaktari na wakemia wakitaja dawa mbalimbali katika ugunduzi wa tiba ya Corona lakini Tanzania naona fofofo.
Sasa najiuliza pale Muhimbili University na Bugando mnajifunza kuosha vidonda tuu? Au ni vyuo vya ujenzi wa Maghorofa?
Hivi Tanzania tunasomesha wataalamu wa Afya au tunakaririsha watu jinsi ya kutoa dawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mtoto Mkuu ni mtu mzima asee
HAhahBinafsi mimi ni mkemia,nipo nimejifungia naendelea na utafiti mkuu.
Mika nenda rudi ndio sababu hioWapo kaka kuna proffesor wangu anataka kufanya utafiti juu ya chanjo ya korona lkn anaona gharama ni kubwa mnoo ameshaandika proposal
Sent using Jamii Forums mobile app