Wasomi wa afya na Wakemia Tanzania, mbona kimya kuhusu ugunduzi wenu wa dawa ya Coronavirus?

Nimefutilia mataifa mbalimbali kupitia mitandao naona madaktari na wakemia wakitaja dawa mbalimbali katika ugunduzi wa tiba ya Corona lakini Tanzania naona fofofo.

Sasa najiuliza pale Muhimbili University na Bugando mnajifunza kuosha vidonda tuu? Au ni vyuo vya ujenzi wa Maghorofa?

Hivi Tanzania tunasomesha wataalamu wa Afya au tunakaririsha watu jinsi ya kutoa dawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania dawa hugunduliwa na waganga wa kienyeji. Wapo tu wanaumiza vichwa huku kila mmoja anaomba awe wa kwanza kugundua dawa apige hela.
 
Nimefutilia mataifa mbalimbali kupitia mitandao naona madaktari na wakemia wakitaja dawa mbalimbali katika ugunduzi wa tiba ya Corona lakini Tanzania naona fofofo.

Sasa najiuliza pale Muhimbili University na Bugando mnajifunza kuosha vidonda tuu? Au ni vyuo vya ujenzi wa Maghorofa?

Hivi Tanzania tunasomesha wataalamu wa Afya au tunakaririsha watu jinsi ya kutoa dawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungetuwekea mfano, Rwanda, Kenya, Uganda, DRC, Misri n.k. wamegundua dawa gani nasi tujifunze.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Sasa najiuliza pale Muhimbili University na Bugando mnajifunza kuosha vidonda tuu?

Aisee, wewe ni mchokozi sana!!!.🤣

Kuanzia maprof, hadi wahitimu ni bure kabisa, kwani wanashindwa hata na waganga wa kienyeji ambao wao kila uchao utasikia angalau wamegundua dawa ya nguvu za kiume (nguvu-dume).

Pia serikali zetu hazitoi fungu la kufanyia utafiti kama ilivyo kwa nchi zingine hususan nchi za ulaya.
 
Dawa labda kwa babu wa loliondo...
Kutengeneza dawa sikama kutengeneza mishumaa au sabuni ya maji
 
Back
Top Bottom