WASOMI WA 90's TUSIJISAHAU PAMOJA NA KIMINYO CHA MIAKA 49 UHURU

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,089
829
Najua ni kwa kiasi gani tumesoma kwa shida tulio wengi kuanzia zile shule zetu za msingi tulianza kusoma kiingereza darasa la tatu, michango ya madawati ,ada na michango mingine isiyo na msingi. Sekondari kwa wale wa dei mnaakumbuka mambo ya kufukuzana ada kila mara ,chakula kibovu na upungufu wa walimu shule za boarding .elimu ya juu ndo usiseme bodi ya mikopo mateso iliyotupa kwale wenzangu wa mlimani mnakumbuka ile migomo ambayo kwa kiasi kikubwa ilikuwa ni mkombozi wetu ,mazingira na
miundombinu mibovu, vitendea kazi duni huu ni uzoefu na changamoto tosha yatupasa kuyakumbuka haya na kutojisahau kwa kutakakulipiza kisasi kwa kuanza kura rushwa na kujiingiza kwenye vitendo vinavyoididimiza hii nchi kwenye dimbi la umaskini. Kwa kweli mpaka sasa nchi yetu impact ya wasomi sio kubwa yatupasa tuwape elimu ya uraia hawa ndugu zetu waliokimbia umande , kushiriki kwenye tafiti endlevu ,kujitahidi kurudisha mashirika yetu ya umma mikononi mwa wazawa , kujitahidi kuisoma katiba na kuielewa kupata mapungufu kuweza kudai katiba mpya kwa nguvu zote .
Inawezekana timiza wajibu wako
 
Back
Top Bottom