Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,342
- 6,467
Tofauti ya wasomi wa nchi zilizoendelea na zisizoendelea ni moja wasomi wa nchi zilizoendelea na tajiri hujikita kwenye solution wakati wasomi wa nchi zisizoendelea hujikita kwenye maswali.
Aiseee !!Ili upate solution ya jambo lolote, ni lazima kujiuliza maswali kama:
What?
Why?
Where?
Who?
Ukikimbilia kwenye solutions tu bila kujibu maswali haya kikamilifu, utakuwa kama "Jiwe" ambaye hukurupuka tu from no where ktk mambo mengi anayoamua na kutenda...!!
Tofauti ya wasomi wa nchi zilizoendelea na zisizoendelea ni moja wasomi wa nchi zilizoendelea na tajiri hujikita kwenye solution wakati wasomi wa nchi zisizoendelea hujikita kwenye maswali.
Hayo maswali unatakiwa ujiulize wewe kama msomi au uulize laymen ambao hawajasoma wakupe majibu? Mfano hilo table wasomi mabwege nyie mnamuuliza nani awape majibu?Ili upate solution ya jambo lolote, ni lazima kujiuliza maswali kama:
What?
Why?
Where?
Who?
Ukikimbilia kwenye solutions tu bila kujibu maswali haya kikamilifu, utakuwa kama "Jiwe" ambaye hukurupuka tu from no where ktk mambo mengi anayoamua na kutenda...!!
Kifupi wasomi wa nchi hii baadhi majanga hayo maswali unatakiwa ujiulize mwenyewe kama msomi sio kuuliza laymen wakujibu.Wasomi wa nchi hii baadhi ni wasomi pilato type.Msiomjua Pilato ni kuwa alikuwa jaji aliyesomea na kubobea kwenye sheria alipopelekewa kesi ya Yesu aihukumu badala ya kuangalia fani yake na vitabu vya Sheria vinasemaje akaenda na maswali kwenye public akiwa learned brother jaji akauliza umati uliohudhuria kesi wa Laymen ambao hawajui sheria akawauliza nimpe hukumu gani huyu Yesu as if hajui vitabu vyake vya Sheria vinasemaje? Wakasema asulubiwe asulubiwe akaamuru asulubiwe .Ndio maana nahoji hayo maswali wewe kama msomi unahoji nani ? Mimi naona ni miswali ya ki.pilato tu.Pilato alikuwa msomi bwege kama msomi huyu mleta madaIli upate solution ya jambo lolote, ni lazima kwanza kujiuliza maswali kama na kuyajibu ipasavyo kwa ukamilifu waje:
What?
Why?
Where?
Who?
How?
When?
Then?
Next.....!?? nk
Ukikimbilia kwenye solutions tu bila kujiuliza na kujijibu maswali haya kikamilifu, utakuwa kama "Jiwe" ambaye hukurupuka tu from no where ktk mambo mengi anayoamua na kutenda...!!
Hayo maswali unatakiwa ujiulize wewe kama msomi au uulize laymen ambao hawajasoma wakupe majibu? Mfano hilo table wasomi mabwege nyie mnamuuliza nani awape majibu?
View attachment 1043644[/Q
Hii Bar chati inaonyesha mazao tuyaouza nje ya nchi pamoja na ufanisi wake katika masoko ya nje. Mwaka 2018 mazao yaliyofanya vizuri ni Korosho, Tumbaku na Kahawa.
Katika mwaka 2019, mazao yaliyokuwa na ufanisi mzuri katika masoko ya nje ni Tumbaku, Kahawa na Pamba. Zao la korosho ufanisi wake umeporomoka sana yaani kutoka Tani 578.4 hadi tani 25.2. Ilhali pamba, Kahawa na tumbaku zikionyesha ongezeko katika ufanisi.
Kwenye mporomoko wa ufanisi kwa zao la korosho kunahitaji utafiti jadidifu ili kubaini sababu kuu zilizosababisha huo mporomoko. Ni eneo ambalo watafiti wanatakiwa waje watueleze kwa sababu za kisayansi zilizosababisha huo mporomoko.
Mleta hoja kajitambulisha kuwa ni msomi na wasomi wote wanataka jibu sasa kama wasomi wameungana kuuliza swali tusio wasomi tujibu nini hoja ya wasomi wanaotaka jibu.Wewe umetupamba kwa kilemba cha ukoka kuwa hata asiyesoma ana solution . Asante kwa hilo.Hili andiko lako vizuri ungemjibu mleta mada kuliko kunijibu Mimi.Mpe hili jibu mleta madaJiulize wewe na kwa yeyote anayeweza kukupa jibu haijalishi ni nani.....
Na hii kitu ni kwa yeyote anayevuta pumzi na kuishi...
By the way, nakushauri ufute kauli yako ya "layman" kwa sababu in one way or another, kila mtu anajua kitu fulani na si kila mtu hajui lolote na chochote....
Hata Bwana John Pombe Magufuli (Rais wa TZ kwa sasa) haina maana kuwa ni mbaya kabisa 100%....
Hapana, anayo mazuri yake. Kama binadamu anao upande wake wa uzuri unaoweza kuwasaidia watu na jamii...
In my opinion, hakuumbwa kushika nafasi ya uongozi aliyonayo sasa...!!
I am very sorry kama nitakuwa nimekuudhi kwa kauli hii. Lakini huo ni mtazamo wangu. Unaweza kunipuuza tu ama ukakubaliana nami....
I have no problem with that
Hasa ukizingatia kuwa SOLUTION ni jawabu... na jawabu huwepo penye tatizo/swaliHakuna solutions bila maswali
Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
Kifupi wasomi wa nchi hii baadhi majanga hayo maswali unatakiwa ujiulize mwenyewe kama msomi sio kuuliza laymen wakujibu.Wasomi wa nchi hii baadhi ni wasomi pilato type.Msiomjua Pilato ni kuwa alikuwa jaji aliyesomea na kubobea kwenye sheria alipopelekewa kesi ya Yesu aihukumu badala ya kuangalia fani yake na vitabu vya Sheria vinasemaje akaenda na maswali kwenye public akiwa learned brother jaji akauliza umati uliohudhuria kesi wa Laymen ambao hawajui sheria akawauliza nimpe hukumu gani huyu Yesu as if hajui vitabu vyake vya Sheria vinasemaje? Wakasema asulubiwe asulubiwe akaamuru asulubiwe .Ndio maana nahoji hayo maswali wewe kama msomi unahoji nani ? Mimi naona ni miswali ya ki.pilato tu.Pilato alikuwa msomi bwege kama msomi huyu mleta mada
Mleta hoja kajitambulisha kuwa ni msomi na wasomi wote wanataka jibu sasa kama wasomi wameungana kuuliza swali tusio wasomi tujibu nini hoja ya wasomi wanaotaka jibu.Wewe umetupamba kwa kilemba cha ukoka kuwa hata asiyesoma ana solution . Asante kwa hilo.Hili andiko lako vizuri ungemjibu mleta mada kuliko kunijibu Mimi.Mpe hili jibu mleta mada
Korosho bado hazijauzwa nje (as of Jan, 2019).
Kumbe nyie ndio mnaotusumbua jukwaani kwa kutokua na elimu?,jinga sana kuleta kitu usichokijua A to Z,hata idea ni Zero ,"Pathetic"
Sent using Jamii Forums mobile app
Lumumba bana,Tofauti ya wasomi wa nchi zilizoendelea na zisizoendelea ni moja wasomi wa nchi zilizoendelea na tajiri hujikita kwenye solution wakati wasomi wa nchi zisizoendelea hujikita kwenye maswali.
YEHODAYA nyie endeleeni kutembea kifua mbere mko kwenye rait trakiTofauti ya wasomi wa nchi zilizoendelea na zisizoendelea ni moja wasomi wa nchi zilizoendelea na tajiri hujikita kwenye solution wakati wasomi wa nchi zisizoendelea hujikita kwenye maswali.
Wewe na mleta uzi mna utindio wa ubongoHivi kumbe na ww ni msomi. Sasa kama ww ni msomi na michango yako ndio hiyo tunayoiona hapa jukwaani hamna haja ya mtu kuwa msomi.