Wasomi Tanzania kulikoni?, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasomi Tanzania kulikoni?,

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by commonmwananchi, Mar 30, 2011.

 1. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Mimi binafsi ninaamini nchi yetu inao wasomi wa kutosha(wa kweli) ukiondoa wale wengi wa vyeti magumashi wakiwemo baadhi hata ya waheshimiwa wetu.
  JE? Inakuwje baadhi ya kazi zinazohitaji proffesionals hapa nchini unawakuta wageni toka nje lukuki,hususan wa-keii!,na unapokwenda nchi za jirani kama KENYA,UGANDA na RWANDA huwakuti wasomi wetu wakiwa wamepenya soko la ajira huko.Je tatizo ni nini hapo? au ndio kuzidiwa viwango vya taaluma.au ni kutoaminika kwa vyeti vyetu??
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,914
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  hiki kilio ni cha siku nyingi saana lakini wakuu wetu bado hadi leo hawajakitolea ufumbuzi.
   
Loading...