OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,021
- 114,387
Tangu Serikali ya awamu ya Tano iingie madaraka wasomi waliopewa nyazifa Serikali wamekuwa watu wa ajabu.
Wameshindwa kusahihisha mawazo na matakwa ya wanasiasa. Kifupi niseme wamekuwa "maboya" ya wanasiasa.Tangu ishu ya watumishi hewa pale BOT, mbinyo wa fedha za MCC, sukari na sasa tafsiri za kodi, kuna wataalamu ambao kabisa ukisikiliza maoni yao unatamani ukachome moto vyeti vyao.
Nakumbuka ishu ya watumishi hewa BOT ilivyoshikiwa bango na M, siku chache baadae Prof. Ndulu akajibu kuwa pale hakuna watumishi hewa! Vilevile CAG alipopunguziwa bajeti yake kwa kiasi kikubwa huku akitakiwa amulike zaidi ufisadi, amesema NO nitafanya kazi kulipangana na resources mlizonipa.
Kwa maoni yangu ni dhahiri kabisa naona katika watu walioko serikalini wasomi ni wawili tu Gavana Prof. Beno Ndulu na CAG Prof. Juma Assad!
Kwa waliosalia ni kuitikia tu .....Ndio mkuu!nitatekeleza mkuu...ndio muheshimiwa, inawezekana mkuu!!! Katika ukandamizaji huu wa vyombo vya habari ulitegemea Mwanahabari Dkt. Rioba kuukubali uteuzi wa Ukurugenzi TBC?