YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Ole sendeka ni msomi wa kuigwa na wengine kwa sababu katika somo ambalo alifanya vizuri sekondari na kulifaulu ni Somo la SIASA tu na alipojua uwezo wake ulivyo mkubwa kwenye hilo somo akajitosa kwenye siasa na hadi leo ni mwanasiasa mahiri wa kutegemewa.
Wasomi wanachotakiwa kujifunza ni kuwa huhitaji kujua masomo yote unahitaji walau somo moja ulijualo na unaloliweza na ukilifanyia kazi katika maisha somo hilo moja linaweza kukutoa kimaisha.
yehodaya123@gmail.com