Wasomi: Mwelekeo mzuri miezi sita ya JPM

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
13178694_1097171720347285_8111899942389909237_n.jpg


kila aliyetimamu lazima akubali kuwa kwa magufuli tutavuka, shauri yao wazungusha mikono ambao kwao upinzani ni kupinga kila kitu na kuleta utoto bungeni
 
Wazandiki woooote wanapotaka kulazimisha vioja vyao huweka angalizo kuwa aliye kinyume nao ama ni mjinga, mpumbavu au kejeli za wanawake wagombeapo mwanaume.

Mshahara upo pale pale, lakini sukari imepanda kutoka sh. 1700 hadi 4000 Ndio tunaenda kuzuri huko!!!!!?
WASOMI GANI HAWA WALIOSOMA SHULE ZISIZO NA MADAWATI??
 
Back
Top Bottom