wasomi kuongea baada ya uchaguzi wa Arumeru............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wasomi kuongea baada ya uchaguzi wa Arumeru.............

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by majogajo, Apr 4, 2012.

 1. m

  majogajo JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wakuu nashangaa sijackiwa wanaojiita wasomi kama akina Bansen Bana wakiongelea uchaguzi wa Arumeru..........au kwakuwa ccm imedondoka ndo maana wafuasi wasomi wa ccm hajajitokeza? na zile research zao vp?????? REDET na akina mkandala tunahitaji mawazo yenu...... aliyejitokeza na ambae sikuzote ataki unafiki ni dr.lwaitama wengine mko wp? au mko bize mnatunga UE na TEST kwenye vyuo vyenu? Igunga mlijitokeza mapema sana......hapa vp? wakuu msajiri ameshaongea lolote? maana hatashindwa kusema WAGOGO wamekataa lema asikanyage dodoma?
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Benson bana Kazungumzia kinafiki
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Ana njaa ya legulegu au ya yanga.

   
 4. bulinge

  bulinge Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dk Benson Bana aliongea siku matokeo yalipotangazwa.
  Baada ya kubanwa na mtangazaji wa Radio Deutch welle alikiri wazi kama hali ndani ya ccm itaendelea kuwa kama ilivyo hivi sasa hatashangaa ccm kuwa chama kikuu cha upinzani katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 na CDM kutwaa dola.
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,822
  Trophy Points: 280
  Our good Dkt Lwaitama amepata kunena.
   
 6. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Benson bana sio msomi ana njaa sana,msomi wa ukweli ni lwaitama tu!
   
 7. m

  majogajo JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  C ALISEMA HAKUNA CHAMA MBADALA CHA KUING'OA CCM,so ndani ya sikuchache hivyo hicho chama kimetoka wp? hivi wasomi wetu huwa wanaongozwa na bongo zao au matukio ndo yanawaongoza?
   
Loading...