Wasomi fungukeni sasa juu ya rasimu ya katiba mpya.

kichangaa

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
689
130
Maprofesa wetu wa vyuo vikuu fungukeni sasa kuhusu rasimu ya katiba mpya.kazi ndio inaanza.huwa mnakaa kimya sana kuhusu mambo muhimu yanayotokea nchini.ni woga au ni nini?mnajua kuwa tunawategemea nyie kutoa dira kwa taifa letu?
 
Wasomi wetu wa vyuo vikuu fungukeni kuhusu rasimu ya katiba mpya,huwa mnakaa kimya juu ya mambo muhimu yanayotokea nchini.hivi mnajua kuwa tunawategemea nyie kutoa dira ya nchi yetu ?
 
Wasomi wetu wa vyuo vikuu fungukeni kuhusu rasimu ya katiba mpya,huwa mnakaa kimya juu ya mambo muhimu yanayotokea nchini.hivi mnajua kuwa tunawategemea nyie kutoa dira ya nchi yetu ?

waoga hao! sijapata kuona! mpaka wazeeke zeeke kidogo ndio utaona wakiongea!
 
Back
Top Bottom