Wasomali wamjia juu binti yao kwa kumlilia Diamond

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuqa

Ile Jamii iliyoko Africa ambayo inadai wenyewe siyo waafrika ni jamii tofauti na marufuku katika mila yao kuchanganyikana na wengine hata kama ni dini moja wamemjia binti yao juu na kumponda.

Wasomali kutoka sehemu mbalimbali duniani kwa anzia Somalia Kwenye, ukanda wa Afrika mashariki, ulaya, Australia na Marekani wameonyesha kukasirishwa kwao waziwazi na binti yao huyo kukububujikwa na machozi baada ya kumuona diamond na kumkumbatia.

Wengine walienda mbali nakumponda atawezaje kumkumbatia Mwafrika na kulia.

Wengine waliponda huenda hata Mungu na mama yake hajawahi kuwalilia.

Ila uzuri ni kwamba watoto wengi wa kisomali waliozaliwa ulaya ama nje wamepevuka sana siku hizi wanajitambua.

Wasomali wa huku skendinevia wanatuita sisi waafrika wengine Njeree. Marufuku sisi wanaume waafrika kutongoza, kutembea ama kuoa binti zao. Wanaweza kukuletea fujo hata wakikuona unaongozana na mwanamke wa kisomali.

Majuzi tu hapa Denmark walifanya juu chini kuvuruga harusi ya kijana wa kihausa kutoka Ghana kumuoa binti yao wa kisomali licha ya wote kuwana imani moja.

Hebu jaribu na waEthiopia, vipi huko?

Ni swala la muda tu, wote watajisalimisha kama wale wanaoitwa "mabeberu" na 'Wazalendo' wa Tanzania wanavyoendelea kujisalimisha kwa mtu mweusi asilia.
Tena itakapoanza, hawa ndio watakuwa wanatongoza. Umemwona yule kijana wa kiTanzania (tour guide) wa mlima Kilimanjaro alivyong'ang'aniwa na binti wa kiingereza. Kama hukumwona, ingia gazeti la The Standard, Kenya, utawaona.

Mimi tayari nina mpango wa kijana wangu kumtafuta binti ya naibu waziri wa kilimo, hapa Tanzania. Mfikishieni taarifa kuhusu kusudio hilo kama mpo karibu naye.

Next, wahindi, waarabu, wachina, wakorea,n.k., ni muda tu!
 
Mleta uzi huo mtazamo juu ya wasomali utakuwa hauna tofauti na ule wa kihindi na kiarabu lkn kwasasa Wasomali wanaacha waume zao ndani wanatafuta weusi au wazungu. Nenda pale Kariakoo utakuta vijana wa kibena na kihehe kule Iringa walivyowabadili mpaka dini za wazalisha Kama paka shume
 
Mzuqa

Ile Jamii iliyoko Africa ambayo inadai wenyewe siyo waafrika ni jamii tofauti na marufuku katika mila yao kuchanganyikana na wengine hata kama ni dini moja wamemjia binti yao juu na kumponda.

Wasomali kutoka sehemu mbalimbali duniani kwa anzia Somalia Kwenye, ukanda wa Afrika mashariki, ulaya, Australia na Marekani wameonyesha kukasirishwa kwao waziwazi na binti yao huyo kukububujikwa na machozi baada ya kumuona diamond na kumkumbatia.

Wengine walienda mbali nakumponda atawezaje kumkumbatia Mwafrika na kulia.

Wengine waliponda huenda hata Mungu na mama yake hajawahi kuwalilia.

Ila uzuri ni kwamba watoto wengi wa kisomali waliozaliwa ulaya ama nje wamepevuka sana siku hizi wanajitambua.

Wasomali wa huku skendinevia wanatuita sisi waafrika wengine Njeree. Marufuku sisi wanaume waafrika kutongoza, kutembea ama kuoa binti zao. Wanaweza kukuletea fujo hata wakikuona unaongozana na mwanamke wa kisomali.

Majuzi tu hapa Denmark walifanya juu chini kuvuruga harusi ya kijana wa kihausa kutoka Ghana kumuoa binti yao wa kisomali licha ya wote kuwana imani moja.

Ndiyo uzuri wa kukulia mazingira yanayompa mtu uhuru wa fikra,uhuru wa ku'express hisia siyo kuwa mnafiki kwaajili tu ya kuridhisha watu wengine.
Hao Wasomali uchwara hawajiulizi alifika vipi kwenye show, ina maana aliaga,akalipa kiingilio kwenda kuburudika kwenye ukumbi wa starehe na hiyo kwao siyo 'inshu' bali 'inshu' ni kuonyesha kwake feelings kwa 'mbantu'.
 
Back
Top Bottom