shikulaushinye
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 828
- 456
Tutakumbuka wakati wa uchaguzi Serikali ya Marekani ilikuwa upande gani, sasa baada ya kushinda Rais wasiye mhitaji wameaanza figisu ili ashindwe kuendesha nchi kisa eti Demokrasia.
Hivi kweli Tanzania hakuna demokrasia kuliko Misri ambako Rais Mohamed moss aliyechaguliwa na wananchi akapinduliwa lkn bado marekani hajaweka vikwazo na bado anatoa misaada.
HAPA KAZI TU WATAKUJA WATAKE WASITAKE. TUNA URANIUM, GAS, DHAHABU, ALMASI, MBUGA ZA WANYAMA NA NK.