Wasira,Cheyo na Mrema wakamatwe na kuhojiwa kwa uchochezi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasira,Cheyo na Mrema wakamatwe na kuhojiwa kwa uchochezi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Byendangwero, Mar 4, 2011.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nimefuatilia kwa makini madai ya akina Wasira, Cheyo na Mrema kwamba CDM inawahimiza wananchi kuiondoa serikali iliyopo madarakani kwa nguvu, na kubaini kuwa hayana ukweli wowote. Jambo hilo linazua hisia kwamba watu hao uenda wana ajenda ya siri. Ndiyo maana napendekeza wakamatwe na kuhojiwa ili tujue chanzo cha tuhuma hizo.
   
 2. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja.
   
 3. d

  dotto JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hao nia akina Zilipendwa na zikavuma!!
   
 4. W

  WildCard JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hao watatu kwa nyakati tofauti walikuwa hoi kisiasa na kiuchumi. Serikali ya JK na JK mwenyewe imewasaidia kiaina. Watamwimba JK hadi wanakufa.
   
 5. b

  boybsema Senior Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  nashauri, hawa watu wakamatwe na maprofessa wa inteligensia wawahoji watoe source ya info zao kwa kuwa lisemalo lipo kama halipo laja...Wassira (Njara), Cheyo (mapesa) Mrema (mzee wa kiraracha) tunataka mtoe ushahidi ni kwa jinsi gani hawa chadema wanapindua nchi.
  Wananchi kuandamana kudai haki yao ya msingi ni uhaini???
  kwa maana hyo basi"
  - wanachuo walivyo andamana kwenda ikulu kudai boom liongezwe kutoka 5000-10000 ni uhaini?
  - wahadhiri walivyogoma UDOM ni uhaini?
  - watu wanaodai mfumuko wa bei ni mkubwa ukilinganisha na kipato ni uhaini?
  - Kulipa DOWANS kwa kodi zetu kwa njia za kifisadi ni uhaini?

  Serikali, nawashauri, angalieni na waonyeni watu kama hawa kwenye taifa letu maana siku si nyingi kila mtu atakuwa anaaita waandishi wa habari hata nyumbani kwake hata mpangaji wa chumba kimoja na kuanza kuhubia kuelezea upuuzi kama wa hawa watu watatu.
  Nawakilisha
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  nijuavyo mimi hawa wababu wameflcka kiuchumi na kisiasa. Wanasumbuliwa na wivu wa kizee. Hawatak kuiona Cdm iking'ara! Hawana sera, wapuuzeni.
   
 7. C

  Campana JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  'Dr' Mrema akumbuke pia alivyowahi kuhamasisha umma na kauli zake kipindi akiwa juu kisiasa - kama 'Mkapa kama hujui kufa angalia kaburi'. Mbona hatukumwita 'haini'?

  Leo kwa kuwa ameporomoka anaibukia upande wa pili.
   
 8. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Achana nao hao walikula matapishi yao.
   
 9. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #9
  Mar 4, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  nani wakwanza kumfunga paka kengele
  labda CDM wakiingia madarakani ndo watu km hao wanaweza wakakamatwa.
   
 10. manenge

  manenge JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hawa wazee hawa ni wa enzi ya analogi wanasahahau kwamba hiki ni kipindi cha digitali.
   
 11. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kisingizio cha UDINI na UHAINI ndilo limebaki chaka la mwisho la CCM kuficha madhambi yao.
  Nakumbuka yapata week mbili hivi zilizopita gazeti la RAI (linalomikiwa na RA) liliwahi kulituhumu
  gazeti pendwa la MwanaHalisi kuwa linapanga njama ya kuipindua serikali halali ya JK.

  Lakini hadi leo hatujaona Rai wakihojiwa kuhusu habari hizo au basi MwanaHalisi likishitakiwa kwa UHAINI.

  Ama kweli CCM sasa imekuwa kama yule waziri habari wa Saddam aliyebatizwa jina la COMICAL ALI, CCM nayo
  ni COMICAL CCM
   
 12. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 13. Nungunungu

  Nungunungu JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 13, 2007
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mjadala wa majuha!
   
 14. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapuuzeni
   
 15. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ni Chemical Ali (Not Comical), jina lake halisi ni Ali Hassan al-Majid, bosi wa zamani wa kitengo cha ushushushu cha Irak, ambaye pia alikuwa binamu wa kwanza wa Saddam. Alibatizwa jina la Chemical Ali na Wakurdi. Wakati wa utawala wa kidhalimu wa Saddam Ali aliamuru mauaji ya wakurdi zaidi ya 5000 kwa kuwapulizia hewa ya sumu. Ndio kisa hasa cha kuitwa 'Chemical'
   
 16. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Ndugu Lukansola naona hapa umechanganya watu wawili tofauti. Mimi niliyekuwa namuongelea ni waziri wa habari wa Serikali ya Saddam Hussein akiitwa jina Ali El Sahaf. Aliwahi kukanusha kwamba majeshi ya USA hayajaingia nchi Iraq wakati nyuma yake tukiona vifaru vya majeshi ya USA vikiwa vimemzunguka.

  Kutokana na kukataa ukweli dhahiri basi Wamarekani wakambatiza jina COMICAL ALI. Maana ya Comical ni a laughable person. Wamarekani wakamuahidi baada ya vita wangempatia kazi ya uchekeshaji katika TV moja huko USA. Ndiyo maana hata katika zile deck of card for most wanted people in Iraq yeye hakuwemo. Sina uhakika lakini nasikia sasa hivi ni mchekeshaji ktk TV moja huko US.

  Ndiyo maana nikaifananisha CCM na COMICAL ALI. CCM ya sasa is a laughable party, ninafikiri baada 2015 wataitwa nchi moja kwenda huko kuwa wachekeshaji kama Ze Comedy.
   
 17. M

  Mr. Mbulando Member

  #17
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na Byendangwero. Wasira, Cheyo na Mrema wanalo lao. Tumewaona tangu Bungeni akina Cheyo na Mrema wakitumika kudhalilisha kambi ya upinzani (CDM) ambayo ni mwakilishi halali wa wananchi walio wengi na si akina Mrema na Cheyo wanofanywa vikaragosi na CCM wachakachuji wa matokeo katika sanduku la kura kwa kutumia dola na sasa wanapanga njama kumzima mtetezi pekee wa wanyonge.Angalizo CCM acha njama hizo kama una hoja nenda na wewe kwa wananchi ukakanushe yanayosemwa na CDM kama ni uongo. Usianze kufanya uchochezi kwa kutumia wapambe nuksi.Nenda kwa umma bila nguvu ya dola utaupata ukweli. HATUDANGANYIKI. Cheyo, Mrema kama ni Misri au Tunisia na Libya mtatufikisha huko ninyi. Acheni longolongo watu wafanye kazi ya kujenga chama
   
 18. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #18
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,119
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  kwani ulikua ujuii? eehee ni waongo wanaogopa
   
 19. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,075
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  camaradire.............................. hizo picha ni za nani? maana zinafanana na mtajwa kwenye mada. duuuuuuuuuuuuhhhhhh.. safi sana kweli hawa wazee wana mawazo ya kale. hahaahahahaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 20. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,075
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!! ilikuwa hajafunguka vizuri. nimemwona na yeye,yupo chini ya kitu cha gombe wildlife.
   
Loading...