radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,438
- 32,248
Anne Makinda alijing’atua rasmi na kuachana na uongozi katika siasa kutokana na kufanya kazi za siasa kwa miaka 40.
Kaamua kustaafu akiwa na nguvu za kutosha kabisa tofaut na wanasiasa wengine ving'ang'anizi ambao ni waroho wa madaraka ambao wanafikiri wao ndio wenye haki ya kuwaongoza watanzania na sio siku moja wapumzike wawachie baadhi ya watu na kuwapa nafasi ya kulitumikia taifa hili.
Mara nyingi wanasiasa hawa ni wepesi wa kuwapa ushauri vijana kwamba wajiajiri wao wanapigania nafasi za juu za uongozi wa taifa hili.
Mzee wasira anapambana na bulaya ambae ni kijana hataki huyu kijana alitumikie taifa hili lengo lake ni nini? Kama ni uongozi mbona alikuwepo muda mrefu ktk serikalini zilizolita?
Ni muda wako wa kupumzika mzee wasira shiriki kutoa ushauri kwa vijana pale wanapokesea muda wako wa kulitumikia taifa hili ushapita acha bulaya aendeleze pale ulipoishia.
Asiyekubali kushindwa si mshindani.