Wasira akanusha kudaiwa , ashangaa kutajwa wakati alishamaliza kuilipa TIB

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,326
217,353
Mbunge wa zamani wa Bunda Mh Steven Wasira amekanusha kudaiwa baada ya kampuni zake za Siza cold storage Co LTD na 21st Century Afritex LTD Kutajwa kwenye orodha ya wadaiwa sugu wa serikali walionufaika na mpango wa Commodity Import Support

Amesema kwamba mara ya mwisho alibakiwa na deni la tsh mil 26 tu ambazo akikwisha zilipa kwenye benki ya TIB

Chanzo : Nipashe

Swali - kama alilipa kwanini atajwe , Je huu ni mkakati wa kuwaumiza Team Membe kuelekea 2020 ?
 
Yote tanawezekana. Wanawagunja mbavu washindwe kuruka 2020, anyway sisi hayatuhusu vita ya kunguru.
 
Kipindi hiki tutasikia 'kesi' , 'kashfa', 'kuhusisha kwa karibu', 'Utata wa uraia ' n.k nyingi zikifunguliwa au kuanikwa kwa staili ya Kompromat.

Staili hii ya kutumia mkakati wa kuchafua wanaoleta ushindanI kisiasa kwa walio madarakani bila kujali chama ni maarufu sana nchini Russia ambapo vyombo mbalimbali hutumia taasisi kadhaa za serikali kuibua 'madudu' ya wapinzani-kisiasa bila kujali vyama kama kale kamsemo maarufu 'maendeleo hayana chama ' uwe chama tawala au upande wa pili haijalishi.

Russian officials have a long history of using compromising material, or kompromat, as a weapon against political opponents.

Opponents of the government here in Moscow are well versed in the risk of their foibles and vices—from hidden-camera footage of them in bed with lovers to secretly recorded conversations—being used as compromising material, a practice better known by the Russian portmanteau kompromat. Read more : www.theatlantic.com
 
Hao ni mbuzi wa bwana heri na shamba lake ---wacha tu watoane roho wao kwa wao. ... Tumesha ya chokaa majizi hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom