Wasiotahiriwa huwa na akili nyingi na hufanana sana na watoto wao

Hilo dude lina uhusiano na uchafu tu! Najua wakati hujatahiri ulikuwa unawaogopa mademu ndo maana ulisoma kwa bidii. Siku ulipopata AK 47 peeled ukajiona mjanja waweza chovyachovya na hapo shule ukaisahau
 
heh huu uzi ni wa Jf lack of intelligence!
Yaani sample size ni moja (1) ambayo ni wewe mwenyewe halafu unaweka kichwa cha habari kama una Data mbalimbali
 
Hizo dalili za vyuma kukaza au unatafuta chaka la kuficha udhaifu wako kiakili ionekane tohara ndo sababu. Wayahudi wanatahiriwa siku ya nane baada tu ya kuzaliwa ndo miongoni mwa jamii yenye IQ kubwa sana duniani. Govi haina uhusiano na IQ.
 
Magu akikamata 30 wabongo wengi watakua wanafalsafa na wanautafiti.. hii ni tano tuu tafiti zimekua nyingi sana.. vyuma havina (girisi)
 
Ushahidi upo kuwa watu wasiotahiriwa huwa na uwezo mkubwa darasani ukilinganksha na waliofanyiwa tohara,mfano ni Mimi mwenyewe kabla ya kufanyiwa tohara nilikuwa mzuri was hesabu darasani na kushika namba moja bila kwenda tuition,nilikuwa najifunza mwenyewe Ila baada yq kutahiri nikiwa darasa la saba nilipoingia form one nikapoteza uwezo was kumiliki hesabu,
Pia watoto waliozaliwa na wazazi walio bado kupata tohara hufanana copy right na wazazi wao,angalia makabila yasiotahitri yalivyo na IQ kubwa japo sitayataja,huu ni uchunguzi wangu,niiteMlokozi
Aisee Kimario hivi hawajakuroga kweli? Naona unasingizia govi ya kichwa kidogo chalii
 
Ushahidi upo kuwa watu wasiotahiriwa huwa na uwezo mkubwa darasani ukilinganksha na waliofanyiwa tohara,mfano ni Mimi mwenyewe kabla ya kufanyiwa tohara nilikuwa mzuri was hesabu darasani na kushika namba moja bila kwenda tuition,nilikuwa najifunza mwenyewe Ila baada yq kutahiri nikiwa darasa la saba nilipoingia form one nikapoteza uwezo was kumiliki hesabu,
Pia watoto waliozaliwa na wazazi walio bado kupata tohara hufanana copy right na wazazi wao,angalia makabila yasiotahitri yalivyo na IQ kubwa japo sitayataja,huu ni uchunguzi wangu,niiteMlokozi
UNCIRCURMCISED uzi, mweka uzi na akili yake unatembea na manajisi eti akili kubwa, sema hivi ulipokiuwa na govi ukijiona mshamba na after yake ukaanza mambo ya kisela walau ukajiona kidume
 
Back
Top Bottom