ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,532
- 44,648
Utandawazi umewahaaribu vijana wa africa.sisi bado masikini tunapaswa tufanye kazi sio kukaa kukaa kizembe.fursa zipo ila vijana wanajifanya hawazioni Ni wewe tu kuwa mbunifu.
Fursa za kuuziana vitambulisho vya kimachinga?Utandawazi umewahaaribu vijana wa africa.sisi bado masikini tunapaswa tufanye kazi sio kukaa kukaa kizembe.fursa zipo ila vijana wanajifanya hawazioni Ni wewe tu kuwa mbunifu.
Du mkuu speed yako ya kuwatetea wanaojiita watetezi wa wanyonge si mchezo!!wanataka wapewe pesa huku amekaa
Ndiyo uko zamu ?! Naona ndani ya dakika 20 umeanzisha nyuzi kibao !! Na zote unatetea tumboUtandawazi umewahaaribu vijana wa africa.sisi bado masikini tunapaswa tufanye kazi sio kukaa kukaa kizembe.fursa zipo ila vijana wanajifanya hawazioni Ni wewe tu kuwa mbunifu.
kiaje sikusomi
naona na wewe unaitumia fursa ipasavyo,hiyo kazi ya kulifanya nyeusi kuwa nyeupe kwa maneno,utakeshaUtandawazi umewahaaribu vijana wa africa.sisi bado masikini tunapaswa tufanye kazi sio kukaa kukaa kizembe.fursa zipo ila vijana wanajifanya hawazioni Ni wewe tu kuwa mbunifu.
Usimwamini kabisa. Pitia mabandiko yake yoteHuyu ndege John aliwa andika uzi anaomba kazi yyt ile ya kibarua..leo unakuja hapa kubwabwaja tu
Nadhani si wote kwamba hawafanyi kazi. Wengine ni mabosi ktk idara flani za serikali.. wafanya kazi wa serikali .Utandawazi umewahaaribu vijana wa africa.sisi bado masikini tunapaswa tufanye kazi sio kukaa kukaa kizembe.fursa zipo ila vijana wanajifanya hawazioni Ni wewe tu kuwa mbunifu.