Wasiopenda serikali Ni wale Wapenda starehe

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
8,558
2,000
Utandawazi umewahaaribu vijana wa africa.sisi bado masikini tunapaswa tufanye kazi sio kukaa kukaa kizembe.fursa zipo ila vijana wanajifanya hawazioni Ni wewe tu kuwa mbunifu.
 

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,627
2,000
Aisee siyo siri katika tawala ambazo nakula bata mpaka kuku anaona wivu ni hii awamu ya 5 Mungu aendelee kukuweka baba magufuli. Mliokula kuku wakati wa Jk tusisumbuane.
 

Manelezu

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
1,527
2,000
Nashangaa sana mtu anaesema watu ni wavivu, hivi jiulize vijana waliosoma kwa bidii mpaka chuo kikuu kwa maelfu, wamemaliza hamna ajira, wanatoka familia masikini hakuna mtaji ametafuta kazi kwa kufanya applications kibao patupu, ebu wewe unawaona hawa watu wavivu na wamejituma maisha yao yote kusoma mpaka chuo kikuu, wape solution wafanye nini, wakabebe zeke wapewe elfu 4 kwa siku? Ndio walisoma wakafanye kazi za aina hiyo? Walisoma ili iweje sasa kama wanatafanya kazi zile zile zinazofanywa na wale waliowaacha mtaani?
 

Manelezu

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
1,527
2,000
Matatizo mengi ya vijana wa kiafrika yanaanzia kwa serikali zao kushindwa kujenga uchumi, mtu mvivu hawezi risk maisha yake ku cross bahari ili tu akafanye kazi ulaya, au unafikili hawa watu wanaenda ulaya kuangalia majengo,? African states have failed to build the economy, they have failed to create jobs, wanafail kwa mambo mengi sanaa
 

Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
12,323
2,000
Utandawazi umewahaaribu vijana wa africa.sisi bado masikini tunapaswa tufanye kazi sio kukaa kukaa kizembe.fursa zipo ila vijana wanajifanya hawazioni Ni wewe tu kuwa mbunifu.
Nadhani si wote kwamba hawafanyi kazi. Wengine ni mabosi ktk idara flani za serikali.. wafanya kazi wa serikali .
Binafsi niko sehem nzur in gov. Pale serikali inapozingua nawananga, wanapopatia naenda nao fresh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom