Wasioomba kazi ndo wamepewa kazi ya usimamizi wa maudhui

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Walimu wakuu shule za msingi wengi wao hawakuomba kazi ya sensa, nashangaa Jana tu wamepigiwa simu kuwa wao ndo mahojaji halafu ndio wasimamizi wa maudhui, maajabu sana.

Walioomba kazi hiyo wamewekwa pembeni.

Hii nchi tutafika mbinguni tumechoka sana.
 
Inauma sana kutumia muda wangu na rasilimali zangu ,kumbe kuna watu wameandaliwa na wenyewe hawakutuma maombi,inasikitisha sana
Wakati mwingine tumia huo muda wako na hizo raslimali zako kuumwagilia moyo wako! Achana na kujipandisha presha bila ya sababu za msingi.
 
Walimu wakuu shule za msingi wengi wao hawakuomba kazi ya sensa, nashangaa Jana tu wamepigiwa simu kuwa wao ndo mahojaji halafu ndio wasimamizi wa maudhui, maajabu sana.

Walioomba kazi hiyo wamewekwa pembeni.

Hii nchi tutafika mbinguni tumechoka sana.
Uonevu huo unatakiwa ukuchochee utafute pesa uzipate mpaka aliekata Jina lako aje akuombe hela ya ugali niiiina
 
Back
Top Bottom