Wasiona majina yao kwenye website ya bodi ya mikopo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasiona majina yao kwenye website ya bodi ya mikopo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by TUNTEMEKE, Sep 19, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Jamani kama jina la mtu halipo kabisa kwenye website ya bodi inamaanisha nini?kanyimwa mkopo au hata kama umenyimwa mkopo jina lako litakuwepo na litaaondikwa no loan?naomba ufafanuzi wajumbe
   
 2. O

  Obeth Marco Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati huo jina lako halipo kweye website ya HESLB majina mengine yapo?? au ndo yote hayapo?
   
 3. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  majina ya wengine yapo,sasa sijajua kama wasiokuwepo ndio hawajapata mkopo au la?
   
 4. G

  Grim Reaper Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  swal la mcngi sana hilo
   
 5. songoros

  songoros Senior Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  tembelea link.ya tcu utapata ufumbuzi
   
Loading...