“Wasiojulikana” washindwa kumfikia Lissu hospitalini

Huo ni uongo.

Kama hiyo nia ya kummaliza TL ilikuwepo asingeondoka salama mikononi mwa madaktari waliokuwa wanampa huduma ya kwanza pale Dodoma.

Na kama TL na timu yake wanadai hivyo kuwa pana watu walikuwa wanamfatilia NBI basi Serikali haina mkono wake kwake mean that, ni maadui wa TL nje ya mfumo wa Serikali ndiyo wanaomwanadama.

Maana yake ni kwamba, wakati akiwa kwenye first aid pale Dodoma hao maadui wake ambao sasa hapa siyo serikali kama tunavyoaminishwa hawakuwa na agent wao maana pale walikuwepo wafanyakazi wa Serikali/madaktari wa Serikali.

Ila kama, tutaaaminishwa kuwa ni Serikali inahusika na masahibu yake basi hii nadharia inakuwa siyo sahihi kwa sababu madkatari wa Serikali ndiyo wameokoa uhai wake pale Dodoma.

Wakati mwingine tuache porojo.
 
Nahakika watakuwa wamekamatwa, ni wangapi na wamewekwa rumande huko Kenya au Tanzania. Au walikuwa wanachungulia na kuondoka kama kivuli. Tuwekane sawa hapa na sio blablaaa tuu.
Ikiwezekana mtuwekee na picha tuwajue.
 
Maana, labda akawa kwenye first aid pale Dodoma hawakuwa na agent wao.

Ila kama tutaaaminishwa kuwa ni Serikali inahusika hii na masahibu yake basi hii nadharia inakiwa siyo sahihi kwa sababu madkatari wa Serikali ndiyo wameokoa uhai wake pale Dodoma.

Wakati mwingine tuache porojo.
Uko sahihi kabisa mkuu,
kama serikali ingekuwa na nia ovu lisu angechomoka vp mikononi mwa hospital yake?!
tena ikumbukwe wakati anatibiwa wala hakuwa anajitambua
tatizo wafuasi wa mbowe huwa wanaropoka kama wamekatwa vichwa!
 
Nahakika watakuwa wamekamatwa, ni wangapi na wamewekwa rumande huko Kenya au Tanzania. Au walikuwa wanachungulia na kuondoka kama kivuli. Tuwekane sawa hapa na sio blablaaa tuu.
Ikiwezekana mtuwekee na picha tuwajue.

mwasengo,
Mkuu,.
ukijibiwa au kupewa picha zao uni tag.
Shukuran mno mno kwa kunitag wakikujibu.
 
Uko sahihi kabisa mkuu,
kama serikali ingekuwa na nia ovu lisu angechomoka vp mikononi mwa hospital yake?!
tena ikumbukwe wakati anatibiwa wala hakuwa anajitambua
tatizo wafuasi wa mbowe huwa wanaropoka kama wamekatwa vichwa!

goodluck5,
Mkuu,
Elimu zetu hizi za hapa na pale na siasa uchwara mbuzi ni tatizo sana.

Pana mambo ukiyaweka kwenye "mathematical equations" yaani equation zote hazi balance wala hata kuweka dalili.

Ndiyo kama hii issue ya kufatiriwa mtu Nairobi wakati ameponywa huku Dodoma kule NBI ameenda alomst kusafishwa vidonda tu.
 
Huo ni uongo.

Kama hiyo nia ya kummaliza TL ilikuwepo asingeondoka salama mikononi mwa madaktari waliokuwa wanampa huduma ya kwanza pale Dodoma.

Na kama TL na timu yake wanadai hivyo kuwa pana watu walikuwa wanamfatilia NBI basi Serikali haina mkono wake kwake mean that, ni maadui wa TL nje ya mfumo wa Serikali ndiyo wanaomwanadama.

Maana yake ni kwamba, wakati akiwa kwenye first aid pale Dodoma hao maadui wake ambao sasa hapa siyo serikali kama tunavyoaminishwa hawakuwa na agent wao maana pale walikuwepo wafanyakazi wa Serikali/madaktari wa Serikali.

Ila kama, tutaaaminishwa kuwa ni Serikali inahusika na masahibu yake basi hii nadharia inakuwa siyo sahihi kwa sababu madkatari wa Serikali ndiyo wameokoa uhai wake pale Dodoma.

Wakati mwingine tuache porojo.

Dodoma isingaliwezekana kutekeleza hilo kwani walio mshambulia Lissu hawakuwa na plan B, waliamini kabisa kuwa asingaliishi! Baada ya shambulio walitokomea kusiko julikana! Madaktari Dodoma wasingeweza kumdhuru kwani hawakuwa wameshirikishwa kwenye hujuma hiyo na hapakuandaliwa mtu asiye julikana kati yao!
 
kindafu,
Mkuu,.
Serikali siyo kama familia tambua hilo na kamwe usisahahu.

Japo, pia zipo familia zime organize wana familia wake wote wanafanya kazi kama Serikali.

Nikwambie issue hiyo ya TL inaweza ikawa hata umetoka ndani ya CDM wenyewe.

Kwanza, wapinzani wananunulika kama karanga za Saida Karoli ,, usitegemee kukosa wasaliti hata miongoni mwao kama alivyowahi kushutumiwa Mr. ZZK kwa kuuza siri na mipango kwa upande wa pili.
 
Issue kama hizo hata iwe ya serikali lazima iwe imeandaliwa na kuhusisha watu maalumu! Vinginevyo itaji expose yenyewe mchana kweupe! Issue ya Lissu ingetokana na Chadema wenyewe, wahusika wasingali chomoka hata iweje! Hao wasio julikana sio kwamba hawajulikani kwa wote!
 
Very funny....kwahio hao waliodhibitiwa kabla ya kumfikia Lissu waliachiwa tu waondoke au?
 
Huo ni uongo.

Kama hiyo nia ya kummaliza TL ilikuwepo asingeondoka salama mikononi mwa madaktari waliokuwa wanampa huduma ya kwanza pale Dodoma.

Na kama TL na timu yake wanadai hivyo kuwa pana watu walikuwa wanamfatilia NBI basi Serikali haina mkono wake kwake mean that, ni maadui wa TL nje ya mfumo wa Serikali ndiyo wanaomwanadama.

Maana yake ni kwamba, wakati akiwa kwenye first aid pale Dodoma hao maadui wake ambao sasa hapa siyo serikali kama tunavyoaminishwa hawakuwa na agent wao maana pale walikuwepo wafanyakazi wa Serikali/madaktari wa Serikali.

Ila kama, tutaaaminishwa kuwa ni Serikali inahusika na masahibu yake basi hii nadharia inakuwa siyo sahihi kwa sababu madkatari wa Serikali ndiyo wameokoa uhai wake pale Dodoma.

Wakati mwingine tuache porojo.

"Madaktari wa Serikali?" Drs wanawafanya kazi kwa nidhamu ya udaktari, kazi yao ilikuwa kuokoa maisha ya Mgonjwa wao, mtanzania mwenzao, acha kuligawa taifa kwa lugha yako ya ajabu ajabu, yaani wewe huna maana kabisa. acheni vyombo vya usalama vifanye kazi yao kwa tarifa iliyoletwa hapa, hii ni tarifa toka walinzi wa TL sasa ni kazi ya vyombo vyetu kufanyia kazi na kuja na ufafanuzi juu ya ukweli ama uongo wa tarifa hii.
 
Ndugai ameshaenda kumjulia hali MhTINDU LISSU kama alivyoahidi?
Naona wakienda wote watatu itapendeza zaidi yaani ,IPG Sirro,Spika Ndugai na RC Makonda
 
Nahakika watakuwa wamekamatwa, ni wangapi na wamewekwa rumande huko Kenya au Tanzania. Au walikuwa wanachungulia na kuondoka kama kivuli. Tuwekane sawa hapa na sio blablaaa tuu.
Ikiwezekana mtuwekee na picha tuwajue.
Yaani wawe wamekamatwa , hawa wakae kimya,!? Thubutuuu!
 
FikraPevu Huwa nawaza tu
Kwamba kwel "gwiji" akipona hatorud Tanzania kwani au??

Maana tusitukane 'wakunga' na 'uzazi' ungalipo
 
Back
Top Bottom