Wasiojulikana Sasa Wajulikana kwa Majina na Sura

Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
3,183
7,645
Kwa ushahidi unaotolewa kwenye kesi ya kuchonga dhidi ya Mbowe, ni dhahiri waliokuwa wakitajwa kuwa ni watu wasiojulikana, sasa wameanza kujulikana.

Hawa ndiyo walikuwa wanawateka watu, wanakupeleka kokote wanakotaka bila ya jina lako kuwekwa kwenye kumbukumbu yoyote.

Kwa kuwa sasa tayari wanajulikana, hakuna namna ya kuchukua hatua dhidi yao ili walipie ushetani wao?
 
Nina wasiwasi kama wakipelekwa mahakamani watashughulikiwa ipasavyo, kwasababu bado wako na kazi yao haramu ya kuyalinda maslahi ya chama tawala, na hicho chama tawala ndicho kinaunda serikali inayowalipa wale majaji walioamua kuweka taaluma zao pembeni, na kufanya kazi kwa maoni yao.
 
163763.jpg
 
Kuwapa adhabu kali Kingai na wenzake ni jambo Takatifu, ni sawa na kumwadhibu shetani.

Wale wanaoombea watu, huwa wanasema, toka shetani toka, nasi kama Taifa tuwe na kauli mbiu dhidi ya majitu maovu, yanayoteka watu:

Toka shetani toka,

toka Kingai toka,

Toka Mahita toka,

Toka Jumanne toka,

Toka Goodluck toka

Toka Aziz toka
 
Iko siku tena sio mbali ila Kingai, Mahita Jr, Jumanne na Goodluck Minja watalipwa tu. Nasema watalipwa tu kwa maovu yao waliyofanyia wana wa hii nchi kama Mungu aishivyo.
Let it be.
 
Kwa ushahidi unaotolewa kwenye kesi ya kuchonga dhidi ya Mbowe, ni dhahiri waliokuwa wakitajwa kuwa ni watu wasiojulikana, sasa wameanza kujulikana.

Hawa ndiyo walikuwa wanawateka watu, wanakupeleka kokote wanakotaka bila ya jina lako kuwekwa kwenye kumbukumbu yoyote.

Kwa kuwa sasa tayari wanajulikana, hakuna namna ya kuchukua hatua dhidi yao ili walipie ushetani wao?
Ni kuwachomea ndani wao na familia zao wakiwa wamelala. Yaani kila mahali ni wao tuu wana tajwa. Shane!!!!
 
Nina wasiwasi kama wakipelekwa mahakamani watashughulikiwa ipasavyo, kwasababu bado wako na kazi yao haramu ya kuyalinda maslahi ya chama tawala, na hicho chama tawala ndicho kinaunda serikali inayowalipa wale majaji walioamua kuweka taaluma zao pembeni, na kufanya kazi kwa maoni yao.
Tuitake katiba mpya yote yatajipa yenyewe, wasitudanganye na kesi za akina saambovu, na Mzee bashite, hizo zote danganya toto, katiba mpya mwarobaini wa Kinga za kutoshitakiwa na yawasiojulikana na yafananayo na uozo huo🤔.
 
Kwa ushahidi unaotolewa kwenye kesi ya kuchonga dhidi ya Mbowe, ni dhahiri waliokuwa wakitajwa kuwa ni watu wasiojulikana, sasa wameanza kujulikana.

Hawa ndiyo walikuwa wanawateka watu, wanakupeleka kokote wanakotaka bila ya jina lako kuwekwa kwenye kumbukumbu yoyote.

Kwa kuwa sasa tayari wanajulikana, hakuna namna ya kuchukua hatua dhidi yao ili walipie ushetani wao?

Hawa ndiyo waliowaweka watu kwenye viroba. Wajiita special task force chini ya jiwe:

IMG_20211130_082556_548.jpg

Yawezekana viroba vimekwenda na makomando wetu.
 
Back
Top Bottom