Wasiojiweza tendo la ndoa kutibiwa Muhimbili

mkurya org.

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
1,571
1,694
Hapo chacha hospitali ya muhimbili itaanza huduma ya kutibu wanaume ambao hawajiwezi kwenye tendo la ndoa wahi sasa

Source nimeitoa kwenye gazeti
 
Hili sasa ni janga wadau,ina maana hii kitu ni very serious,ndio maana mimi sili kabisa chipsi mayai,maana kwa namna moja au nyingine zinahusika sana na uharibifu wa mambo yetu.
 
mimi pia nashangaa toka nihamie dar dushdude yangu inapungua tu na ilikua inantisha kwa ukubwa sasa sijui ni vyakula au mji umejaa kemikali ngoja nijirudie chuga nsije nkawa Obama,,,vyakula vyenyewe majanga unakula unasinzia kama umekula miraa ya naivasha,,,vyakula vile vile hakuna mbadala muda wa kupika hakuna mamanzi hawataki kupika junk food tuu,,agrrr ,,,shidaaaa
 
afadhali maana wanaume wa dar wametuchosha wanawake wengi wameishia kutangatanga kwa mwanaume huyu na yule kumbe zafanana tu majanga.
ngoja niwape habari michepuko yangu wawahi mapema huko wasinichoshe mie
 
Mkuu wahi mapema naskia huduma itaanza mapema iwezekanavyo
 
mimi pia nashangaa toka nihamie dar dushdude yangu inapungua tu na ilikua inantisha kwa ukubwa sasa sijui ni vyakula au mji umejaa kemikali ngoja nijirudie chuga nsije nkawa Obama,,,vyakula vyenyewe majanga unakula unasinzia kama umekula miraa ya naivasha,,,vyakula vile vile hakuna mbadala muda wa kupika hakuna mamanzi hawataki kupika junk food tuu,,agrrr ,,,shidaaaa
Aisee hapa kuna tatizo,hasa la vyakula.,nimaekula mihigo asubuhi hii,nalala mwanzo mwisho.,inaweza kuwa na matatizo nayp
 
Hapo chacha hospitali ya muhimbili itaanza huduma ya kutibu wanaume ambao hawajiwezi kwenye tendo la ndoa wahi sasa : Source nimeitoa kwenye gazeti
Ukiwaamini hawa na sehemu zako nyeti nitashangaa sana..UTAJUTA, acha ikae hivyo hivyo mpaka upate suluhisho lingine..
 
Hili sasa ni janga wadau,ina maana hii kitu ni very serious,ndio maana mimi sili kabisa chipsi maya,maana kwa namna moja au nyingine zinahusika sana na uharibifu wa mambo yetu.

Kuna Mkuu mmoja wa nchi alisema tunaongezeka kwa kasi sana hadi kufikia Mil 40+ tupunguze kuzaliana, naona hii tiba itafanya control ya population growth kuwa kinyume na mtazamo wa mkuu huyo, anyway sipingani na maboresho ila najaribu kufikiria ni namna gani mambo haya mawili yanaweza kwenda pamoja bila kuleta athari
 
dah!
nilishachoka dona, nilikuwa nakula tu nifanyeje.... chips kuku, utaalam umeshapatikana.
 
afadhali maana wanaume wa dar wametuchosha wanawake wengi wameishia kutangatanga kwa mwanaume huyu na yule kumbe zafanana tu majanga.
ngoja niwape habari michepuko yangu wawahi mapema huko wasinichoshe mie
Itakua kilomita zako zimesoma sana aka mdebwedoo,kama sio weka picture hapa tuone km mzigo uko fresh.
 
mimi pia nashangaa toka nihamie dar dushdude yangu inapungua tu na ilikua inantisha kwa ukubwa sasa sijui ni vyakula au mji umejaa kemikali ngoja nijirudie chuga nsije nkawa Obama,,,vyakula vyenyewe majanga unakula unasinzia kama umekula miraa ya naivasha,,,vyakula vile vile hakuna mbadala muda wa kupika hakuna mamanzi hawataki kupika junk food tuu,,agrrr ,,,shidaaaa
Asa mbona wake zenu wanawatoroka uko mikoani na wanakuja dar kumegwa kimya kimya!inakuaje mazeee
 
Hapo chacha hospitali ya muhimbili itaanza huduma ya kutibu wanaume ambao hawajiwezi kwenye tendo la ndoa wahi sasa

Source nimeitoa kwenye gazeti
IMG-20160520-WA0005.jpg
 
Hapo chacha hospitali ya muhimbili itaanza huduma ya kutibu wanaume ambao hawajiwezi kwenye tendo la ndoa wahi sasa

Source ni
afadhali maana wanaume wa dar wametuchosha wanawake wengi wameishia kutangatanga kwa mwanaume huyu na yule kumbe zafanana tu majanga.
ngoja niwape habari michepuko yangu wawahi mapema huko wasinichoshe mie

Yaani hiyo michepuko yako ikiienda huko, ndo kwisha kazi tena maana inaenda kuwa case study kwa ajili ya kufanyiwa majaribio. Kitakachofuata hata hako kamoja, utakuwa hupati
Yaani hiyo michepuko yako ikiienda huko, ndo kwisha kazi tena maana inaenda kuwa case study kwa ajili ya kufanyiwa majaribio. Kitakachofuata hata hako kamoja, utakuwa hupat
 
Mnanikera sana mnavyochangia mada bila kutaja gharama za hayo matibabu niliyoyasubiri kwa kipindi kirefu, Niandae shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom