Wasio tambulika ajali ya Boti ya Skagit waanza kuzikwa na serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasio tambulika ajali ya Boti ya Skagit waanza kuzikwa na serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gumzo, Jul 20, 2012.

 1. G

  Gumzo JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h] [h=3][/h]
  [​IMG]

  [​IMG]

  KWA HAbARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
   
 2. K

  Kayinga junior Senior Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  waletwe huku bara tuwatambue maana hatuna nguvu yani pesa ila makato yaposho yawabunge itumike kuwaleta ndugu zetu wasiwazike
   
 3. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,820
  Trophy Points: 280
  Jamaaani, inasikitisha sana
   
 4. A

  Andrew nerei Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo boti iliyozama haina orodha ya wa2 waliokuwa kwenye boti au ni zile kama daladala mwenge-mbagala kama vp wachunguzwe wafungiwe lesen coz ajal nyng 2 ztatokea kwa mtindo huu
   
 5. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Inabidi wazikwe, maiti ziko katika hali mbaya. Samaki wameshaanza kuzila. Vile vile zimeanza kubanduka ngozi na baadhi ya viungo kuanza kujiachia.
   
Loading...