Wasindikizaji Wa Kudumu Tanzania

PAPAA JIWE

JF-Expert Member
May 12, 2014
863
134
Wanandugu hebu tujikumbushe kidogo wanasiasa ambao ni majeruhi wa kudumu kwenye siasa za Tanzania, hawa ni wale ambao wanatumia nguvu kubwa lakini matokeo yake yamekuwa hasi.

Kwa upande wangu naanza na huyu Profesa Ibrahimu H Lipumba, nadhani tangu nimezaliwa nasikia tu anagombea, labda kuna siku NEC watakosea kusoma jina la mshindi wa kile kiti kimoja na kumsoma yeye.

"Huyu namuita msindikizaji wa kudumu"

hebu tukumbushane wasindikizaji wengine..
 
Ole Sendeka, huyu anajitoa kutetea chama na mpaka anamwaga machozi lakini ajawai pewa ata unaibu waziri.
 
Mbowe .mrema slaa mtikila. Maalim seif nk
Nabado tunawategemea 2015 kutusindikiza maana arusi wanafanya inafana Sana
 
Shonza na Mwampamba wao ni wasindikizaji tu huko ccm hawana vyeo vyovyote pamoja na kutokwa povu jingi kuitukana CDM
 
Back
Top Bottom