Wasimamizi wa Uchaguzi watakiwa kuwa na Weledi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,009
9,874
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Wilson Mahera akizungumza na washiriki wa Mafunzo ya siku tatu kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo na Kata yanayoendelea Mjini Morogoro.

Tume ya Uchaguzi inataraji kufanya Uchaguzi mdogo katika Jimbo la Konde (Zanzibar) na Ushetu (Shinyanga) pamoja na Kata 10 za Tanzania Bara Oktoba 9, 2021.

Dkt. Mahera amewataka watendaji hao wa Uchaguzi katika Ngazi ya Jimbo la Ushetu na Kata 10 za udiwani kufanya kazi kwa weledi na kuepusha migogoro isiyonatija.

Pia amewasisitiza kuteua watendaji wa uchaguzi ngazi ya vituo weledi wa kufanbya kazi hiyo kwa ufanisi na si kuteua watu kwa urafiki au undugu.

Kata zitakazo fanya uchaguzi na Halmashauri zake katika mabano ni Kileo (Mwanga DC), Neruma(Bunda)Kagera–Nkanda(Kasulu DC) Luduga(Wanging’ombe), Vumilia (Urambo),Lyowa (Kalambo),Buyuni(Ilala), Dongo(Kiteto, )Lighwa(Ikungi) na Ndembezi (Shinyanga).
 
Hakuna weledi wowote hapo since sheria ya uchaguzi ni mbovu inampa mamlaka mwenyekiti wa CCM kuteua wasimamizi wote wa huo uchaguzi.

"Wananchi hawataki braa braa" In Dokta Mahera's voice
 
47BE45BE-8802-4C4A-8D42-876B8BC08984.jpeg
 
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Wilson Mahera akizungumza na washiriki wa Mafunzo ya siku tatu kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo na Kata yanayoendelea Mjini Morogoro.

Tume ya Uchaguzi inataraji kufanya Uchaguzi mdogo katika Jimbo la Konde (Zanzibar) na Ushetu (Shinyanga) pamoja na Kata 10 za Tanzania Bara Oktoba 9, 2021.

Dkt. Mahera amewataka watendaji hao wa Uchaguzi katika Ngazi ya Jimbo la Ushetu na Kata 10 za udiwani kufanya kazi kwa weledi na kuepusha migogoro isiyonatija.

Pia amewasisitiza kuteua watendaji wa uchaguzi ngazi ya vituo weledi wa kufanbya kazi hiyo kwa ufanisi na si kuteua watu kwa urafiki au undugu.

Kata zitakazo fanya uchaguzi na Halmashauri zake katika mabano ni Kileo (Mwanga DC), Neruma(Bunda)Kagera–Nkanda(Kasulu DC) Luduga(Wanging’ombe), Vumilia (Urambo),Lyowa (Kalambo),Buyuni(Ilala), Dongo(Kiteto, )Lighwa(Ikungi) na Ndembezi (Shinyanga).
Yeye mwenyewe hana weledi, halafu anataka wasaidizi wake wawe na weledi. Mnafiki mkubwa huyu.

Huyu ni takataka isiyohitajika kwenye ulimwengu wa waliostaarabika. Huyu ndiye aliyesimamia uvurugaji mkubwa wa uchaguzi wa 2020.
 
Back
Top Bottom