Wasimamizi wa majimbo waibeba CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasimamizi wa majimbo waibeba CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lusambara, Nov 2, 2010.

 1. L

  Lusambara Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila mtanzania wenye dhamira ya kweli na nchi yake ataamini kabisa kuwa, ucheleweshaji wa matokeo unaofanywa na Wasimamizi ni hila za wao kuibeba CCM baada ya kuona imeshindwa vibaya.

  Wazo la miundo mbinu ni uongo mtupu kwani haiwezekani hata Jiji la Dar es salaam iwe ni shida kutoa matokeo kwa wakati wakati miundo mbinu iko safi.

  Habari za kuaminika nilizopata toka Jimbo mojawapo ambalo matokeo yamechelewa ni kwamba, KAMA SI UCHAKACHUAJI ULIOFANYWA NA WASIMAMIZI NA WASAIDIZI WAO, KWA SEHEMU KUBWA CHADEMA ILIKUWA IMESHINDA MAJIMBO MENGI YA NCHI HII, LAKINI WANACHELEWESHA MATOKEO KWA MAKUSUDI WAKIWA WANABADILISHA MATOKEO HALISI.

  Chanzo hicho kilisema kuwa, Msimamizi Mkuu ni mteule wa CCM (ambaye ni Mkurugenzi),Msimamizi msaidizi naye ni mteule wa Halmashauri ( Mtendaji wa Kata) hivyo uchachuaji umefanywa kwa kiasi kikubwa ili kukilinda chama tawala.

  KWA HALI HALISI TUME HAIKO HURU
   
 2. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  haujtusaidia sana kwa kuwa umeamua kutotaja eneo husika, hivyo habari hii itabalki kuwa uvumi tuu!!!
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,552
  Trophy Points: 280
  Haya ni kweli lakini hapa ni mahali pake?

  Nilifikiria hapa ni kuripoti matokeo tu.
   
 4. m

  mwalimumpole Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :israel::israel::israel::israel::israel:
  I DO AGREE WITH YOU, CCM WANABEBWA NA MFUMO WA TUME YA UCHAGUZI
   
Loading...