Wasimamizi uchaguzi: Walimu wamwagwa pwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasimamizi uchaguzi: Walimu wamwagwa pwa!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by The Dreamer, Oct 28, 2010.

 1. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mabibi na mabwana heshima mbele.

  Taarifa za uhakika kabisa walimu walioomba kusimamia uchaguzi jimbo la Karagwe wamemwagwa pwa! Kwa mfano kata za Kayanga na Ndama wamechukuliwa watu wa kawaida (bila shaka mrengo wa JK). Hii inatafsiriwa kuwa ni hofu ya Mkulu juu ya Umma wa wafanyakazi usiomfagilia. Habari ndiyo hiyo
   
 2. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Kuna jamaa zangu ni waali maeneo mengi sana ya morogoro wamepata nafasi za kusimamia, wengi nilioongea nao wanaonyesha kutokuwa tayari kutumika kama daraja la ccm
   
 3. M

  Mugerezi JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 28, 2007
  Messages: 454
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Uchaguzi tutaona vituko vingi sana.
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  wale waliim si ndo waliambiwa kuwa hata wagome miaka nane hawapati kitu!!!!
   
 5. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Sasa ndio wakati wa Walimu hao kufanya maamuzi magumu kwa kuwachagua wagombea watakaoleta mabadiliko.
   
Loading...