Wasiliana na ikulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasiliana na ikulu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dubo, Feb 1, 2011.

 1. Dubo

  Dubo JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 322
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wale wenye madukuduku yao, na wale wenye ushauri kwa serikali gonga hapo chini

  Ikulu Mawasiliano
   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Ahsante mkuu lakini sijui kama watasikiliza maoni yetu na kuyafanyia kazi.
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Madukuduku kuhusu nini? be specific
   
 4. n

  niweze JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nishajaribu mara Jk alipochaguliwa mara ya kwanza na majibu "wewe changia taifa lako achana na sisi" na nimeyaona mwenyewe baada ya miaka mitano jinsi gani hawataki ujue kitu gani Ikulu inafanya kazi.
   
 5. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Watu hawachumi zabibu toka katika miiba, wala tini toka katika michongoma. Mti mwema hutoa matunda mema na mti mbaya matunda mabaya! Mti mwema hautoi matunda mabaya na wala mti mbaya hautoi matunda mema (Mt.7:16-18)
   
 6. T

  Taso JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,649
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Wajanja sana katika kuficha uzembe wao, wameanzisha blog badala ya official website ya Ikulu. Wanajua hawawezi ku maintain kitu official official watakua wanachemka kila siku.

  Tunataka official website.
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Salva ndio moderator wa hiyo "website"???
   
 8. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,725
  Likes Received: 3,142
  Trophy Points: 280
  Kumekucha...si wasome JF watapata mawazo yetu period wasituletee longa longa
   
Loading...