Wasifu wa Prof. Edward Hosea, Mbobezi wa Sheria Aliyejitoa Kuitumikia Tanganyika Law Society (TLS)

Maryam Malya

Senior Member
Nov 29, 2021
115
258
SAFARI YA KITAALUMA

- Mwaka 1985 Alitunukiwa shahada ya kwanza ya Sheria (LLB) ya Chuo kikuu cha Dar es salaam, akishinda pia Tuzo ya Mwanafunzi bora ya Kitivo cha Sheria katika "Constitution Law".

- Mwaka 1989 Alitunukiwa shahada ya uzamili katika sheria (LLM) ya Chuo Kikuu cha Queens, Ontario, nchini Canada na kutupewa Tuzo ya Mwanafunzi bora ya Chuo Kikuu cha Queens.

- Mwaka 2007 Alitunukiwa shahada ya Uzamifu(PhD) katika Sheria ya Chuo kikuu cha Dar es salaam akibobea katika "Law of Evidence".

- Mafunzo katika Sera, Uongozi, Maadili na Kukabiliana na Rushwa katika Vyuo na Taasisi zifuatazo; Chuo kikuu cha Passau (2007), Chuo kikuu cha Birmingham (2003) na Taasisi ya Benki ya Dunia (WI) mwaka 1998.

- Mwaka 1997 Alihitimu Astashahada ya Utatuzi wa Migogoro kutoka katika Kituo cha Diplomasia (CFR) nchini Tanzania.

UZOEFU NA UBOBEZI KATIKA SHERIA

- Mhadhiri katika kitivo cha Sheria, Chuo Kikuu Cha Dar es salaam ( Law of Evidence and Legal Practice)

- Mhadhiri katika Kituo cha Diplomasia (CFR) akifundisha Sheria katika Biashara za kimataifa na uwekezaji.

- Mwanazuoni (Visiting Scholar) katika Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Northwestern, Chicago (2003-2005)

- Profesa wa muda (Adjunct Professor) wa Shule ya Sheria ya Duke Nchini Marekani (2010 - 2012).

- Tuzo kutoka katika Taasisi ya kimataifa kwa mchango katika maboresho ya Sheria ya Jinai (2003).

- Wakili na Mkurugenzi katika Hosea & Co Advocates wabobezi na watoa huduma mbalimbali za kisheria.

- Mkufunzi wa Taasisi ya "Uongozi Institute" kuanzia mwaka 2019

- Profesa katika Chuo Kikuu cha Iringa kuanzia mwaka 2021

- Mwandishi wa vitabu na machapisho ya kitaaluma.

- Mjumbe wa Bodi mbalimbali na mshauri wa masuala ya kitaalam katika mawanda ya Sheria.

UZOEFU KATIKA SHUGHULI ZA UONGOZI

- Rais wa sasa wa Tanganyika Law Society (TLS) Kuanzia mwaka 2021.

- Mkurugenzi wa Taasisi ya kuzuia na kupambana Rushwa (TAKUKURU) nchini Tanzania.

- Rais wa Mamlaka ya kukabiliana na rushwa Afrika mashariki (2008-2010, 2014-2015).

- Mwenyekiti wa Mamlaka ya kukabiliana na Rushwa katika nchi za SADC ( SAFAC) Mwaka 2010-2011.

- Mwenyekiti wa Bodi ya Umoja wa Afrika (AU) katika Mapambano ya Rushwa(2011-2012)

- Makamu wa Rais wa Taasisi ya kimataifa ya kukabiliana na rushwa (IAACA, 2012-2015).
8f63930f-0d98-4311-89c7-206907b90f05.jpg

ebf82fd6-c98f-4afd-bb2f-59bbf422b638.jpg

f78dbdb1-6674-4b09-9628-ea175851341e.jpg

Hii nchi ina vichwa wengi sana ila tatizo ni kadi ya chama cha mapinduzi kwani ukisha kuwa nayo unabakiza tumbo basi, mtu kama huyu hana impakti yoyote ktk nchi zaidi ya kuitikia kama kasuku
 
Mbona safari ya taaluma inaanzia bachelor? Hajasoma primary?
Uyo hajui historia yake vizuri wala wasifu uyo HOSEA , kazaliwa Mkoa Wa SIMIYU,wilaya ya Maswa, kata ya Nyalikungu ,alisoma primary pia uko BINZA PRIMARY SCHOOL, kwao ni maswa mjini nyuma ya NMB BANK, Ukiuliza kwa Mwanahosea unaonyeshwa, sema wasukuma bhana tuna matatizo kwao hajawahi kupaendeleza nilipita 2016 papo vile vile,sema ndo tabia za wasukuma ata SHIBUDA ndo ivyo ivyo ,
 
Hii nchi ina vichwa wengi sana ila tatizo ni kadi ya chama cha mapinduzi kwani ukisha kuwa nayo unabakiza tumbo basi, mtu kama huyu hana impakti yoyote ktk nchi zaidi ya kuitikia kama kasuku
Uyo hafai tatizo wabongo wanababaika na CV ya kusoma Abroad ,
 
Mbona kwao naona papo vizuri pale Maswa karibu na jengo la PCCB pamoja na Tiss naona kajenga kanyumba kake amaizing garden Safi na kwa wazazi wake kule mtaa wa pili pako good au ulitaka ajenge maghorofa mkuu?
Uyo hajui historia yake vizuri wala wasifu uyo HOSEA , kazaliwa Mkoa Wa SIMIYU,wilaya ya Maswa, kata ya Nyalikungu ,alisoma primary pia uko BINZA PRIMARY SCHOOL, kwao ni maswa mjini nyuma ya NMB BANK, Ukiuliza kwa Mwanahosea unaonyeshwa, sema wasukuma bhana tuna matatizo kwao hajawahi kupaendeleza nilipita 2016 papo vile vile,sema ndo tabia za wasukuma ata SHIBUDA ndo ivyo ivyo ,
 
SAFARI YA KITAALUMA

- Mwaka 1985 Alitunukiwa shahada ya kwanza ya Sheria (LLB) ya Chuo kikuu cha Dar es salaam, akishinda pia Tuzo ya Mwanafunzi bora ya Kitivo cha Sheria katika "Constitution Law".

- Mwaka 1989 Alitunukiwa shahada ya uzamili katika sheria (LLM) ya Chuo Kikuu cha Queens, Ontario, nchini Canada na kutupewa Tuzo ya Mwanafunzi bora ya Chuo Kikuu cha Queens.

- Mwaka 2007 Alitunukiwa shahada ya Uzamifu(PhD) katika Sheria ya Chuo kikuu cha Dar es salaam akibobea katika "Law of Evidence".

- Mafunzo katika Sera, Uongozi, Maadili na Kukabiliana na Rushwa katika Vyuo na Taasisi zifuatazo; Chuo kikuu cha Passau (2007), Chuo kikuu cha Birmingham (2003) na Taasisi ya Benki ya Dunia (WI) mwaka 1998.

- Mwaka 1997 Alihitimu Astashahada ya Utatuzi wa Migogoro kutoka katika Kituo cha Diplomasia (CFR) nchini Tanzania.

UZOEFU NA UBOBEZI KATIKA SHERIA

- Mhadhiri katika kitivo cha Sheria, Chuo Kikuu Cha Dar es salaam ( Law of Evidence and Legal Practice)

- Mhadhiri katika Kituo cha Diplomasia (CFR) akifundisha Sheria katika Biashara za kimataifa na uwekezaji.

- Mwanazuoni (Visiting Scholar) katika Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Northwestern, Chicago (2003-2005)

- Profesa wa muda (Adjunct Professor) wa Shule ya Sheria ya Duke Nchini Marekani (2010 - 2012).

- Tuzo kutoka katika Taasisi ya kimataifa kwa mchango katika maboresho ya Sheria ya Jinai (2003).

- Wakili na Mkurugenzi katika Hosea & Co Advocates wabobezi na watoa huduma mbalimbali za kisheria.

- Mkufunzi wa Taasisi ya "Uongozi Institute" kuanzia mwaka 2019

- Profesa katika Chuo Kikuu cha Iringa kuanzia mwaka 2021

- Mwandishi wa vitabu na machapisho ya kitaaluma.

- Mjumbe wa Bodi mbalimbali na mshauri wa masuala ya kitaalam katika mawanda ya Sheria.

UZOEFU KATIKA SHUGHULI ZA UONGOZI

- Rais wa sasa wa Tanganyika Law Society (TLS) Kuanzia mwaka 2021.

- Mkurugenzi wa Taasisi ya kuzuia na kupambana Rushwa (TAKUKURU) nchini Tanzania.

- Rais wa Mamlaka ya kukabiliana na rushwa Afrika mashariki (2008-2010, 2014-2015).

- Mwenyekiti wa Mamlaka ya kukabiliana na Rushwa katika nchi za SADC ( SAFAC) Mwaka 2010-2011.

- Mwenyekiti wa Bodi ya Umoja wa Afrika (AU) katika Mapambano ya Rushwa(2011-2012)

- Makamu wa Rais wa Taasisi ya kimataifa ya kukabiliana na rushwa (IAACA, 2012-2015).

IMG-20220503-WA0001.jpg

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na kuwa na wasomi wabobezi Sana Tz, kwanini serikali yetu ikishitakiwa huko duniani hawa wasomi hawaoneshi umahiri wao
 
Uyo hajui historia yake vizuri wala wasifu uyo HOSEA , kazaliwa Mkoa Wa SIMIYU,wilaya ya Maswa, kata ya Nyalikungu ,alisoma primary pia uko BINZA PRIMARY SCHOOL, kwao ni maswa mjini nyuma ya NMB BANK, Ukiuliza kwa Mwanahosea unaonyeshwa, sema wasukuma bhana tuna matatizo kwao hajawahi kupaendeleza nilipita 2016 papo vile vile,sema ndo tabia za wasukuma ata SHIBUDA ndo ivyo ivyo ,
Nagongea msumari wa Moto!

Yaani wote wamekomaa na jiji! Na watoto US!
 
Back
Top Bottom