Wasifu wa hayati Pombe Magufuli kwenye wikipedia wapotosha

chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
772
2,332
wanajamvi bila shaka mpo salama bukheril afya.
mimi naona niingiye moja kwa moja kwenye jambo lilionisibu hadi kuwaletea hapa. Kama tunavojua serikali ilivotangaza msiba wa rais hayati magufuli na ikaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa moyo wa mfumo wa umeme, chaajabu wasifu uliondikwa kwenye wikipedia unaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa Covid-19. Je wanajamvi huo hamuuoni kuwa ni upotoshaji?
View attachment 1828900
 
Hao huwa na reliable sources mumo kwa mumo. "Si lazima wasikilize nyimbo zenu hata kama haziimbiki ugenini." Akakazia huyo waziri wa zamani.
 
Miaka ya nyuma kipindi nasoma soma wikipedia, kulikuwa na uhuru wa mtumiaji yeyote kuongeza taarifa katika habari fulani, kwa miaka hii sijui kama uhuru huo bado upo maana si mtumiaji tena wa hiyo wikipedia. Kama bado wanaruhusu mtumiaji yeyote ku add information basi fanya hivyo ili kuzuia huo upotoshwaji.
RIP JPM, kwangu ulikuwa ni zaidi ya Rais.
 
wanajamvi bila shaka mpo salama bukheril afya.
mimi naona niingiye moja kwa moja kwenye jambo lilionisibu hadi kuwaletea hapa. Kama tunavojua serikali ilivotangaza msiba wa rais hayati magufuli na ikaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa moyo wa mfumo wa umeme, chaajabu wasifu uliondikwa kwenye wikipedia unaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa Covid-19. Je wanajamvi huo hamuuoni kuwa ni upotoshaji?
View attachment 1828900
Bado kuna watu mnaamini wikipedia wakati mlishaambiwa waandaji wake wengi wao hawana elimu?
 
Screenshot_20210624-222226_Chrome.jpg

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
wanajamvi bila shaka mpo salama bukheril afya.
mimi naona niingiye moja kwa moja kwenye jambo lilionisibu hadi kuwaletea hapa. Kama tunavojua serikali ilivotangaza msiba wa rais hayati magufuli na ikaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa moyo wa mfumo wa umeme, chaajabu wasifu uliondikwa kwenye wikipedia unaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa Covid-19. Je wanajamvi huo hamuuoni kuwa ni upotoshaji?
View attachment 1828900
Hakufa kwa korona (korona si ugonjwa by the way) bali alikufa kwa magonjwa nyemelezi ya korona!
 
Pana taarifa nyingi sana kuhusu aliyekwenda, tokea kuzaliwa hadi mwisho. Vyeo alivyopitia na hata aliowarithi na walio mrithi, nk. Yaani nitty gritty!

Kuna entry yoyote zaidi ya sababu ya kifo inayolalamikiwa?
 
Sisi tunafahamu ni tatizo la moyo,lakini duniani kote wanasema ni COVID-19.Hata majuzi niligombana na mmarekani mmoja kwa jambo hilihili.
Hii yote ni kuchukiwa na wazungu.
Dunia hii bora uchukiwe na shetani, kuliko kuchukiwa ni wazungu wa ulaya na marekani watakuandama hata ukiwepo kaburini
 
wanajamvi bila shaka mpo salama bukheril afya.
mimi naona niingiye moja kwa moja kwenye jambo lilionisibu hadi kuwaletea hapa. Kama tunavojua serikali ilivotangaza msiba wa rais hayati magufuli na ikaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa moyo wa mfumo wa umeme, chaajabu wasifu uliondikwa kwenye wikipedia unaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa Covid-19. Je wanajamvi huo hamuuoni kuwa ni upotoshaji?
View attachment 1828900
Wanasema inasemekana sio rasmi, rasmi ni umeme
 
1624563603040.png

Back
Top Bottom