chivala
JF-Expert Member
- Apr 13, 2021
- 772
- 2,333
wanajamvi bila shaka mpo salama bukheril afya.
mimi naona niingiye moja kwa moja kwenye jambo lilionisibu hadi kuwaletea hapa. Kama tunavojua serikali ilivotangaza msiba wa rais hayati magufuli na ikaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa moyo wa mfumo wa umeme, chaajabu wasifu uliondikwa kwenye wikipedia unaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa Covid-19. Je wanajamvi huo hamuuoni kuwa ni upotoshaji?
View attachment 1828900