road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,011
KwendaaaaaaaaaaaaR.I. P JPM
KwendaaaaaaaaaaaaR.I. P JPM
Hapana sababu za kifo cha Julius Nyerere zilitangazwa na kuandika na hata za ben Mkapa! SOMA! SOMA! SOMA!Sababu za kifo cha Nyerere hakijaandikwa , cha Mkapa hakijaandikwa kwanini waandoke kwa Magufuli tu. Hapa sijaelewa kwanini iwe yeye tu
Acha uongo Wikipedia wanaeleza wazi chanzo cha kifo ni "Atrial Fibrillation".wanajamvi bila shaka mpo salama bukheril afya.
mimi naona niingiye moja kwa moja kwenye jambo lilionisibu hadi kuwaletea hapa. Kama tunavojua serikali ilivotangaza msiba wa rais hayati magufuli na ikaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa moyo wa mfumo wa umeme, chaajabu wasifu uliondikwa kwenye wikipedia unaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa Covid-19. Je wanajamvi huo hamuuoni kuwa ni upotoshaji?
View attachment 1828900
Personal details | |
---|---|
Born | John Pombe Joseph Magufuli 29 October 1959 Chato, Tanganyika (now Tanzania) |
Died | 17 March 2021 (aged 61) Dar es Salaam, Tanzania |
Cause of death | Atrial fibrillation[1] |
Political party | Chama Cha Mapinduzi |
Spouse(s) | Janeth Magufuli |
Children | 7 |
Education | University of Dar es Salaam (BS, MS, PhD) |
Ni kweli alikufa na coronawanajamvi bila shaka mpo salama bukheril afya.
mimi naona niingiye moja kwa moja kwenye jambo lilionisibu hadi kuwaletea hapa. Kama tunavojua serikali ilivotangaza msiba wa rais hayati magufuli na ikaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa moyo wa mfumo wa umeme, chaajabu wasifu uliondikwa kwenye wikipedia unaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa Covid-19. Je wanajamvi huo hamuuoni kuwa ni upotoshaji?
View attachment 1828900
Yeah ni marehemuMiaka ya nyuma kipindi nasoma soma wikipedia, kulikuwa na uhuru wa mtumiaji yeyote kuongeza taarifa katika habari fulani, kwa miaka hii sijui kama uhuru huo bado upo maana si mtumiaji tena wa hiyo wikipedia. Kama bado wanaruhusu mtumiaji yeyote ku add information basi fanya hivyo ili kuzuia huo upotoshwaji.
RIP JPM, kwangu ulikuwa ni zaidi ya Rais.
Sababu hana umuhimu kiivyoSababu za kifo cha Nyerere hakijaandikwa , cha Mkapa hakijaandikwa kwanini waandoke kwa Magufuli tu. Hapa sijaelewa kwanini iwe yeye tu
Akili inawajia leo ee! naona uzi huu ulisaidia sana kuwa amsha usigizini, tangia msiba, wenzenu mabeberu wanaitangazia dunia kwenye wikipedia wasifu wa hayati JPM kuwa cause of his death is COVID-19 nyie hamna habari, leo ndio mnaenda kurekebisha, ajabu sana! Mwisho nampongeza mtu alienda kubadilisha taswira mbaya ile zidi ya mpendwa wetu Jpm mungu amlaze pema peponiAcha uongo Wikipedia wanaeleza wazi chanzo cha kifo ni "Atrial Fibrillation".
Personal details Born John Pombe Joseph Magufuli
29 October 1959
Chato, Tanganyika (now Tanzania)Died 17 March 2021 (aged 61)
Dar es Salaam, TanzaniaCause of death Atrial fibrillation[1] Political party Chama Cha Mapinduzi Spouse(s) Janeth Magufuli Children 7 Education University of Dar es Salaam (BS, MS, PhD)
@expedition unastahili pongezi tele! Sababu wazo lako ulioliachia hapa kuwa zamani kulikua na uhuru wa kuongeza chochote kwenye WIKIPEDIA, vijana wetu wakuu wamelifanyia kazi na wakabadilisha taswira mbaya ile ya mpendwa wetu kuwa sababu ya kifo chake ni Covid-19 kwasasa sababu ya kifo ni atrial fibrillation.Miaka ya nyuma kipindi nasoma soma wikipedia, kulikuwa na uhuru wa mtumiaji yeyote kuongeza taarifa katika habari fulani, kwa miaka hii sijui kama uhuru huo bado upo maana si mtumiaji tena wa hiyo wikipedia. Kama bado wanaruhusu mtumiaji yeyote ku add information basi fanya hivyo ili kuzuia huo upotoshwaji.
RIP JPM, kwangu ulikuwa ni zaidi ya Rais.
Umeweka attachment badala ya link, JF wameiblockwanajamvi bila shaka mpo salama bukheril afya.
mimi naona niingiye moja kwa moja kwenye jambo lilionisibu hadi kuwaletea hapa. Kama tunavojua serikali ilivotangaza msiba wa rais hayati magufuli na ikaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa moyo wa mfumo wa umeme, chaajabu wasifu uliondikwa kwenye wikipedia unaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa Covid-19. Je wanajamvi huo hamuuoni kuwa ni upotoshaji?
View attachment 1828900
Mkuu, mimi sijawahi hata kusalimiana na mmarekani wewe unao hadi wa kugombana nao daahSisi tunafahamu ni tatizo la moyo,lakini duniani kote wanasema ni COVID-19.Hata majuzi niligombana na mmarekani mmoja kwa jambo hilihili.
Salam tuu ndio za ukweli kama hata Nchemba anaitwa Madelu tuseme nini?"Rais yupo vizuri anapiga kazi, mnataka atoke aende wapi? Kariakoo? Magomeni?"
Wanasiasi kitu pekee wanaweza kusema ukweli ni majina yao na salam tu!
Serikali hiyo hiyo ilitutangazia JPM ni mzima, yuko ofisini na anapiga kazi. Wakati mtu alishakufa. Hivyo ni ngumu kuamini wasemalo serikali. Bora wikipediawanajamvi bila shaka mpo salama bukheril afya.
mimi naona niingiye moja kwa moja kwenye jambo lilionisibu hadi kuwaletea hapa. Kama tunavojua serikali ilivotangaza msiba wa rais hayati magufuli na ikaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa moyo wa mfumo wa umeme, chaajabu wasifu uliondikwa kwenye wikipedia unaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa Covid-19. Je wanajamvi huo hamuuoni kuwa ni upotoshaji?
View attachment 1828900
Poleni sana matagaLissu atakuwa kaifanyia uhariri hiyo entry ya Magu 🤣
Si kweli kaka, kila mtu huwa na mapungufu ata awe vipi' Tusimuhukumu kwa mabaya yake pekee, tuangalia na mazuri yake pia.Ukitaka kudharaulika msifie mwendazake
Ni uzandikiwanajamvi bila shaka mpo salama bukheril afya.
mimi naona niingiye moja kwa moja kwenye jambo lilionisibu hadi kuwaletea hapa. Kama tunavojua serikali ilivotangaza msiba wa rais hayati magufuli na ikaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa moyo wa mfumo wa umeme, chaajabu wasifu uliondikwa kwenye wikipedia unaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa Covid-19. Je wanajamvi huo hamuuoni kuwa ni upotoshaji?
View attachment 1828900
Hahahaha charaza bakola huyo beberu , mkuu yaonesha unatembea kifua mbele kama matakwa ya awamu ya 5Sisi tunafahamu ni tatizo la moyo,lakini duniani kote wanasema ni COVID-19.Hata majuzi niligombana na mmarekani mmoja kwa jambo hilihili.