Heheh wacha nikaushe tu maana mazombie watanivamia hata kama sijaandika hapa πwanajamvi bila shaka mpo salama bukheril afya.
mimi naona niingiye moja kwa moja kwenye jambo lilionisibu hadi kuwaletea hapa. Kama tunavojua serikali ilivotangaza msiba wa rais hayati magufuli na ikaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa moyo wa mfumo wa umeme, chaajabu wasifu uliondikwa kwenye wikipedia unaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa Covid-19. Je wanajamvi huo hamuuoni kuwa ni upotoshaji?
View attachment 1828900
Aliekuambia ugonjwa wa moyo nani,mtu kapigwa covid tumefunga mjadalawanajamvi bila shaka mpo salama bukheril afya.
mimi naona niingiye moja kwa moja kwenye jambo lilionisibu hadi kuwaletea hapa. Kama tunavojua serikali ilivotangaza msiba wa rais hayati magufuli na ikaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa moyo wa mfumo wa umeme, chaajabu wasifu uliondikwa kwenye wikipedia unaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa Covid-19. Je wanajamvi huo hamuuoni kuwa ni upotoshaji?
View attachment 1828900
Mkuu inawezekana kuwa hakuna kiongonzi aliefariki kwa ugonjwa wa ukimwi, sababu viongozi wote duniani hawazidi 250 hiyo ni sawa ukakuta watu zaidi ya 500 walio kusanyika pamoja ukute wote hawana ukimwiSwali:
Toka uzaliwe umeshawahi kusikia serikali ikitoa taarifa kwamba kiongozi huyu kilichomuua ni UKIMWI?.
Je! Wewe kwa akili yako unaamini kabisa toka uzaliwe kwamba hakuna kiongozi yeyote ambae kafariki kwa ukimwi?.
We jamaaa wikipedia ni website ya kimataifa so haiwezi andika uongo kama waziri mkuu aliedanganya watu kuwa rais ni mzima kumbe kashafarikiπππππwanajamvi bila shaka mpo salama bukheril afya.
mimi naona niingiye moja kwa moja kwenye jambo lilionisibu hadi kuwaletea hapa. Kama tunavojua serikali ilivotangaza msiba wa rais hayati magufuli na ikaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa moyo wa mfumo wa umeme, chaajabu wasifu uliondikwa kwenye wikipedia unaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa Covid-19. Je wanajamvi huo hamuuoni kuwa ni upotoshaji?
View attachment 1828900
#Nimecheka kwa uchungu sana,hasa hapo alipoficha kichwa chini asiione covid,akamua kusali na bado akaona kidubwana kinamfuata tu akaona ni hekima atoke baru.....!
#Nimecheka kwa uchungu sana,hasa hapo anapo sali na kuona kidubwana kinamfuata tu akaona ni hekima atoke baru.....!
Nimemaanisha tanzania sio tunia mzimaMkuu inawezekana kuwa hakuna kiongonzi aliefariki kwa ugonjwa wa ukimwi, sababu viongozi wote duniani hawazidi 250 hiyo ni sawa ukakuta watu zaidi ya 500 walio kusanyika pamoja ukute wote hawana ukimwi
Hakuna kitu mjomba !!! Viatu vya urais vilikua vikubwa mnoo kwake huo ndio ukweliiiMiaka ya nyuma kipindi nasoma soma wikipedia, kulikuwa na uhuru wa mtumiaji yeyote kuongeza taarifa katika habari fulani, kwa miaka hii sijui kama uhuru huo bado upo maana si mtumiaji tena wa hiyo wikipedia. Kama bado wanaruhusu mtumiaji yeyote ku add information basi fanya hivyo ili kuzuia huo upotoshwaji.
RIP JPM, kwangu ulikuwa ni zaidi ya Rais.
Ukitaka kudharaulika msifie mwendazakeMiaka ya nyuma kipindi nasoma soma wikipedia, kulikuwa na uhuru wa mtumiaji yeyote kuongeza taarifa katika habari fulani, kwa miaka hii sijui kama uhuru huo bado upo maana si mtumiaji tena wa hiyo wikipedia. Kama bado wanaruhusu mtumiaji yeyote ku add information basi fanya hivyo ili kuzuia huo upotoshwaji.
RIP JPM, kwangu ulikuwa ni zaidi ya Rais.
Wajinga ni wale waliosema hakuna CovidHuo ni mtandao wa wajinga wajinga
Mzungu akichukie wewe masikini hata milo nitatu hatuwezi!!?? Mnashindwa kua na sera nzuri mnasingizia wazungu ???? Oooh vita ya kiuchumi, oooh mabeberu, ooooh nyokonyoko kumbe akili za kuleta maendeleo ya kisiasa kiuchumi hakunaHii yote ni kuchukiwa na wazungu.
Dunia hii bora uchukiwe na shetani, kuliko kuchukiwa ni wazungu wa ulaya na marekani watakuandama hata ukiwepo kaburini