Wasifu wa Godbless Lema (MP)

kwanini wanamhisi kama ni jambazi wa magari wa zamani? halafu yeye hajajisafisha? pia, mbona yeye ni mtu wa fujo sana kuliko chadema wengine? maneno yake siku zote ni makali, si ajifunze kwa mbowe? vita ya ufisadi haipiganwi hivyo, haitakiwi kwenda kwa violence kila approach, wakati mwingine unatakiwa uwe na timing, kuna wakati wa fujo na wakati wa amani, yeye hata akiongea tu hapa utajua kuwa huyu jamaa si mtu mzuri, chadema kwanini wasimkalishe kikao wampe ushauri nasaha?..unajua anachafua chadema, kwamba cdm ni watu wa fujo kwasababu ya watu kama hawa? kwanini asishindane kwa hoja kama Dr.slaa na mbowe etc, walau hata zito na mnyika tu, ila ukimtaja lema, huwa simwelewi kabisa. kama ananisikia naomba ajirekebishe. halafu ajisafishe ili tuelewe cv yake vizuri na mali hizo alizo nazo alizipataje, na ile issue ya yeye na zombe, ni kweli?
 
aliishia form four alipata div iv point 33
anavuta sana bangi
ni tapeli wa mjini/mishen town
 
anafanya biashara gani? pale mwanza karibu na uwanja wa ccm chirumba pale anapouza bia makontena kwa makontena kwa siku vipi? ana uhusiano gani na ccm? inakuwaje chadema akawa tenant wa ccm, hotel gani ile anayomiliki mwanza, nikumbusheni tafadhali...

kaka sio kila mali inayomilikiwa na mtu mwenyejina la Lema ni ya Godbless Lema mbunge wa Arusha mjini. Kwataarifa yako Lema hausiki hata chembe na Villapark night club ya kirumba Mwanza. Yule nilema mwingine kabisa ambae makazi yake siku zote ni Mwanza.
 
Amesoma kama sikosei advanced Diploma ya Human Resources Management( Cambridge International University,Certificate of Effective Management of Leadership,he is doing Bachelor of Business Adiministration,same college)
Ni mume wa Neema Tarimo
Ana watoto wawili
Ni mchaga wa Machame
Ni mfanyabiashara
Amejiunga CHADEMA akitokea TLP,aligombea ubunge kupitia TLP 2005
Dini yake ni mkristo wa dhehebu la Lutheran
...............................................................................
...............................................................................
...............................................................................

Asante sana kwa kutujuza ubarikiwe
 
Godbless Lema ni mtoto wa mjini, tapeli turned into politics. Kama ukiweza fanya background check yake pale mahakamani utaona mara ngapi alivyoburuzwa kortini kwa tuhuma kibao za utapeli. Ila demokrasia imechukua mkondo wake na kapewa ubunge na wana Arusha.

Na je mchungaji mtikila naye utamwitaje maana nae alikuwa na kesi kibao lakini hujamtaja,acha unafiki wewe utafikiri unatumia masaburi kuandikia.
 
Nawakumbuka profesa Majimarefu (Korogwe), Mwanjale(Mbeya), Mteketa(Kilombero), Murji(Mtwara)................nk wote CCM
 
Mhe; Godbless Lema

Kiwango cha Elimu; Form four leaver. (Kidato cha Nne)
Uzoefu: Muuza mitumba Arusha.

Waziri Kivuli Habari, Michezo na Utamaduni
 
je wale wenye vyeti vizuri wanafanya mageuzi gani maana unaweza kuwa na elimu kubwa lakini hakuna change yoyote wanayoyafanya.
 
Back
Top Bottom