Wasifu wa Godbless Lema (MP)

Paulo

JF-Expert Member
Jan 5, 2009
350
66
167717_1673406368783_1646147558_1560841_1969257_n.jpg

Amani iwe kwenu Great thinkers

Kwa kweli wote tumeona ushujaa uliooneshwa na Mbunge wa Chadema Arusha mjini katika kudai uchaguzi huru wa meya na naibu wake.

Katika harakati hizo ilipelekea yeye kupigwa kionevu na polisi hadi kulazwa hospitali. Still hakukata tamaa, na akaanda maandamano makubwa ya kudai haki hiyo ambapo polisi walimkamata pamoja na viongozi wengine wa CHADEMA huku wakimwaga damu za watu wasiokua na hatia.

Hili limetikisa nchi na tunaamini lazima uchaguzi urudiwe. Hivyo basi kwa kutambua mchango wa GODBLESS LEMA, tunaomba yeyete mweye kujua background yake atujuze hapa jamvini.
 
Mbona kama umbeya? Njoo arusha uwaulize machalii watakupatia cv yake, Lema ni chalii mwenzao hivyo wanamjua kuliko sisi tunaotumia technology. Siyo kila cv inapatikana katika mitandao ni halisi!!
 
Au, ile shughuli ya mazishi ya mashujaa pale arusha ni cv tosha, Kama ulikuwepo ndo ungejua Lema ni nani arusha nzima
 
Amesoma kama sikosei advanced Diploma ya Human Resources Management( Cambridge International University,Certificate of Effective Management of Leadership,he is doing Bachelor of Business Adiministration,same college)
Ni mume wa Neema Tarimo
Ana watoto wawili
Ni mchaga wa Machame
Ni mfanyabiashara
Amejiunga CHADEMA akitokea TLP,aligombea ubunge kupitia TLP 2005
Dini yake ni mkristo wa dhehebu la Lutheran
...............................................................................

Naona watu wa ARUSHA hawajanielewa. Labda niulize kivingine. Naomba yeyote mweye kujua biography ya huyu shujaa atujuze!
 
Amesoma kama sikosei advanced Diploma ya HR pale IAA
Ni mume wa Neema Tarimo
Ana watoto wawili
Ni mchaga wa Machame
Ni mfanyabiashara
Amejiunga CHADEMA akitokea TLP,aligombea ubunge kupitia TLP 2005
Dini yake ni mkristo wa dhehebu la Lutheran
...............................................................................
...............................................................................
...............................................................................

Thanks a million times MICHELLE! This is exactly what I wanted to know and I believe members of the public need to know this as well. Mwenye more info tafadhali unakaribishwa................................
 
Godbless Lema ni mtoto wa mjini, tapeli turned into politics. Kama ukiweza fanya background check yake pale mahakamani utaona mara ngapi alivyoburuzwa kortini kwa tuhuma kibao za utapeli. Ila demokrasia imechukua mkondo wake na kapewa ubunge na wana Arusha.
 
Amesoma kama sikosei advanced Diploma ya HR pale IAA
Ni mume wa Neema Tarimo
Ana watoto wawili
Ni mchaga wa Machame
Ni mfanyabiashara
Amejiunga CHADEMA akitokea TLP,aligombea ubunge kupitia TLP 2005
Dini yake ni mkristo wa dhehebu la Lutheran
...............................................................................
...............................................................................
...............................................................................

afadhali wewe umetusaidia kiasi flani
 
Godbless Lema ni mtoto wa mjini, tapeli turned into politics. Kama ukiweza fanya background check yake pale mahakamani utaona mara ngapi alivyoburuzwa kortini kwa tuhuma kibao za utapeli. Ila demokrasia imechukua mkondo wake na kapewa ubunge na wana Arusha.

Sikatai kabisa,ila huko ndiko alikojua shida za machalii wenzie na ndo wanaomuunga mkono.....ninayo imani kubwa kwamba kwa alikopita na wenzie anayaelewa matatizo ya vijana ambao ndo wenye maisha magumu sana pale Arusha na ana nia ya dhati ya kuwasaidia au kushirikiana nao kuboresha hali zao za maisha,kuliko Batilda.ni maoni yangu.
 
Godbless Lema ni mtoto wa mjini, tapeli turned into politics. Kama ukiweza fanya background check yake pale mahakamani utaona mara ngapi alivyoburuzwa kortini kwa tuhuma kibao za utapeli. Ila demokrasia imechukua mkondo wake na kapewa ubunge na wana Arusha.

Hebu tutajie kesi moja wapo ya utapeli iliyompeleka kortni na hukumu yake ilikuwaje?
 
Godbless Lema ni mtoto wa mjini, tapeli turned into politics. Kama ukiweza fanya background check yake pale mahakamani utaona mara ngapi alivyoburuzwa kortini kwa tuhuma kibao za utapeli. Ila demokrasia imechukua mkondo wake na kapewa ubunge na wana Arusha.

vipi ali kunyangany'a mke?
 
Sikatai kabisa,ila huko ndiko alikojua shida za machalii wenzie na ndo wanaomuunga mkono.....ninayo imani kubwa kwamba kwa alikopita na wenzie anayaelewa matatizo ya vijana ............

Niliposoma post ya Selemani niliona kama crap flani hivi ....ila Michelle alipoiunga mkono basi mi nikawa sina shaka na hiyo post. ila nayo ni sehemu ya wasifu na nimfano wa kuigwa kwa vijana kuwa unaweza kubadilika kutoka maisha flani kwenda maisha mengine. Hata obama wakati wa kampeni zake alikiri kuwahi kuvuta bangi ila akaweza kuacha na kujikita kwenye masomo na kufanikiwa kudahiliwa Havard. So The guy is still a god example for youths who have found themselves in the midst of peer pressure to do immoral things.......
 
Nadhani nyota yake imeng'ara, wanaovuruga kwa kashfa zisizo na msingi wowote hawafiki mbali. Nadhani muuliza swali alikuwa na nia njema na muungwana mmoja keshajibu.
 
vipi ali kunyangany'a mke?

Umeiona hiyo chuki binafsi inavyoletwa Hapa kiaina eeh?

Nilimpiga picha chalii mmoja jana akaniambia picha yake haiwezi uza, eti nimtafute chalii mwingine mwenye sura ngumu kama kobe!
 
Maelezo yaliyotolewa na Mitchelle ni sahihi kbsa.
Kwa wasomji waliokuwepo hapa tangu mwanzo wa kampeni walipitia mabandiko ya member Ngongo ambaye alikuwa anajitahidi sn kuanika historia yake inayoshabihhana na maelezo ya Seleman [lkn yeye akiamini kwmb wasomaji wangemchukia sn Lema]. Kwa bht mby, wanaArusha kwasasa hawaelewi kitu juu ya Lema, hata wakiwa kwny gunpoint bado watakwambia ndiye chaguo lao.
 
Godbless Lema ni mtoto wa mjini, tapeli turned into politics. Kama ukiweza fanya background check yake pale mahakamani utaona mara ngapi alivyoburuzwa kortini kwa tuhuma kibao za utapeli. Ila demokrasia imechukua mkondo wake na kapewa ubunge na wana Arusha.

umeimalizia vizuri sana post yako.wananchi wamechoka na 'wasomi' waliotegemewa kuleta mabadiliko wamechemsha hivyo wenyenchi wametumia haki yao kumuweka mtu atakayetekeleza wanachokikata.
 
Amesoma kama sikosei advanced Diploma ya HR pale IAA
Ni mume wa Neema Tarimo
Ana watoto wawili
Ni mchaga wa Machame
Ni mfanyabiashara
Amejiunga CHADEMA akitokea TLP,aligombea ubunge kupitia TLP 2005
Dini yake ni mkristo wa dhehebu la Lutheran
...............................................................................
...............................................................................
...............................................................................
Safi sana mama, asante na ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom