Wasifu Uliotukuka wa Mhadhama Kadinali Polycarp Pengo ( Cardinal Priest) Anayetokea Nchini Tanzania

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
9,525
2,000
Pendo ni kiongoz mnafiki sana!!! Huwa very aggressive ikiwa Rais was nchi sii mkatoliki ila Rais akiwa mkatoliki huyu pengo huwa polite sana!!! In short he is good for nothing
Na rais siku zote lazima awe muslim or catholic..toka nchii hii iumbwe..hujagundua kitu tuu we kilaza
 
Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
7,706
2,000
Na rais siku zote lazima awe muslim or catholic..toka nchii hii iumbwe..hujagundua kitu tuu we kilaza
Sasa kuna uhusiano gani kati ya Uislamu na Ukatoliki?
Kuna namna ya kipuuzi unalazimisha vitu viwe na uhusiano usiokuwa na mantiki.
 
Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
9,525
2,000
Sasa kuna uhusiano gani kati ya Uislamu na Ukatoliki?
Kuna namna ya kipuuzi unalazimisha vitu viwe na uhusiano usiokuwa na mantiki.
Kama umeshindwa kuelewa nilichoandika aisee.huna hadh ya kuendelea kulumbana na mim..phrase ndogo tu hii umeishindwa..daaaaaaaah..

Tatzo kubwa hili hami j
 
niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,657
2,000
Kardinali ambaye hatasahaulika katika Afrika, Tanzania na Ziwa Magharibi ni mhashamu Ta Kardinari Rugambwa. Hakuna mtu anaweza rekordi hotuba yake yeyote lakini watu watahesabu maendeleo aliyoletea Ziwa Magharibi kwa kujenga shule, hospitali na vyuo.

Alipohamishiwa Dar aliendelea na kazi zake za kuleta maendeleo kimya. Huyu ndiye aliyekosakosa kuwa papa wa kwanza Mwafrika. Rugambwa hakupenda maneno bali matendo.
 
Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
8,143
2,000
Huyu Baba alifumbia macho udhalimu uliokuwa ukiendelea.
Imetia doa sifa yake njema aliyojenga kwa mda mrefu.
 
Sharbel

Member
Feb 20, 2020
39
95
Kardinali ambaye hatasahaulika katika Afrika, Tanzania na Ziwa Magharibi ni mhashamu Ta Kardinari Rugambwa. Hakuna mtu anaweza rekordi hotuba yake yeyote lakini watu watahesabu maendeleo aliyoletea Ziwa Magharibi kwa kujenga shule, hospitali na vyuo.

Alipohamishiwa Dar aliendelea na kazi zake za kuleta maendeleo kimya. Huyu ndiye aliyekosakosa kuwa papa wa kwanza Mwafrika. Rugambwa hakupenda maneno bali matendo.
Mbona Papa kutoka africa mbona walikuwepo
 
Last emperor

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
8,015
2,000
Na hyo kaul ndo ilimpoteza gwaj boy kwenye raman had alipoombewa msamaha na makonda..hahahah...usicheze na kanisa katolik chifu.....ndomana had leo hakuna kiongoz rais mkristo ambae si mkatolik...si bahat mbaya hyo chifu..hahahah...utajua hujui
Hamna kitu yule
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom