Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,469
- 17,575
Hili ni jukwaa la jokes sio chitchat Wala MMU unavyosema nonses nakushangaaNonsense
Marehemu alijua kuishiHahahahahahahaha aisee marehemu alikuwa hanywi bia tamu?
Kwani wenye tabia hizi hawapo?sema siku ya mazishi yao tunawapamba sana,mzee mc kasema ukweli tu.Nonsense
Duh!?hatari sana
Aliishi vizuriMarehemu Alijua kutumia vizuri theory ya Dwarin ile ya Use and dissuse.
Hivyo marehemu aliapply ile ya Use
Mwamba katishaDuh!?hatari sana