Wasifu kwa minajili ya kutunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi kwa Rais Samia Suluhu

Nyumba ya udongo hata uipige rangi daima itabaki kuwa nyumba ya udongo tu.

It takes more than a white coat to make one a doctor. Hata muuza nyama anavaa koti jeupe lakini haimaanishi ni daktari.

A fool will remain a fool even with fancy titles.

Aliyeshinda riadha kwa kutumia gari hawezi kumithilishwa na alieshindwa kwa kukimbia kwa miguu yake mwenyewe. Mtumia miguu daima atakuwa ndio mwanariadha wa kweli.

Uliloshindwa kwa jitihada zako haliwezi kuitwa ushindi kwa kusaidiwa kulipata.

Comment haihusiani na mada. Ni akili za kukosa usingizi tu.
 
Ukipewa wewe utaikataa?

kujifanya una akili kubwa kuliko rais sio poa.

Gundua basi hata kiwembe ili uwe umeifanyia kazi hiyo akili yako kubwa
Mimi sina tatizo na samia ila hapo unapomaanisha eti raisi ana akili nyingi mimi nabisha kabisa ,maraisi waliokawa vipanga nchi hii ni Nyerere na mkapa ila hawa wengine elimu zao ni za kawaida mno
 
Shida inaanza pale siasa inapotufikisha mahali pa kushindwa kutofautisha kati ya PhD ya kutunukiwa/ heshima na Ile ya kuitafuta kitaaluma.

Unajitahidi kuusaka weledi, ufanisi na umahiri wa mtu mwenye PhD unaukosa, umebaki Kwa wachache sana wanaojitambua.
 
"Suala la kupewa tuzo hii nimelipokea kwa unyenyekevu mkubwa lakini nilijiuliza maswali kadhaa, sababu huko nyuma nilijaribu kuitafuta shahada hii lakini muda haukunipa nafasi....
Endelea kuugulia huko huko na akili zako kubwa huku ukiumsujudia marehemu as PhD fake(core) mengine Ni wivu tuu unakusumbua.

Kazi nzuri imepelekea Chuo Bora kutambua mchango wa Rais Samia👇

Screenshot_20221126-155956.png
 
Mchezo unaochezwa na wanasiasa na JK ni maandalizi ya samia kuws Rais 2025.

Pili hii ni vita ya kisiasa kama JPM alivyokuwa akisrma ni vita ya kiuchumi.
Yaliyotokea March 17,2021 ni madndalizi ya muda mrefu na sasa wanafanya maandalizi ya 2025-2030 ,watanzania amkeni.

Mwenyekikiti wa UVCCM Taifa kutokea zanzibar ni maandalizi ya Makamu wa Rais wa mwaka 2030 na kuendelea, watanzania amkeni.
 
Mimi sina tatizo na samia ila hapo unapomaanisha eti raisi ana akili nyingi mimi nabisha kabisa ,maraisi waliokawa vipanga nchi hii ni Nyerere na mkapa ila hawa wengine elimu zao ni za kawaida mno
Marais waliokuwa na Akili Kubwa ( Intelligent ) Tanzania walikuwa ni Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Hayati Baba wa Uchumi Mkapa na Hayati Baba wa Miundombinu, Uthubutu na Nidhamu Dk. Magufuli na ambao sijawataja sikuona na sioni bado cha maana Kwao kwa Maendeleo ya Tanzania.
 
Marais waliokuwa na Akili Kubwa ( Intelligent ) Tanzania walikuwa ni Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Hayati Baba wa Uchumi Mkapa na Hayati Baba wa Miundombinu, Uthubutu na Nidhamu Dk. Magufuli na ambao sijawataja sikuona na sioni bado cha maana Kwao kwa Maendeleo ya Tanzania.
👍
 
"Suala la kupewa tuzo hii nimelipokea kwa unyenyekevu mkubwa lakini nilijiuliza maswali kadhaa, sababu huko nyuma nilijaribu kuitafuta shahada hii lakini muda haukunipa nafas...

Watu wanapewa maua kabla hawajaondoka Duniani.

Kwa ulewa wako mkubwa mmeifanyia nini hii nchi zaidi ya kucomplain kwenye kila kitu you are just complainer.

you are very personal….!!!
 
... duh fasihi; msiniambie "kudemka" na "kulamba asali" yamempa mtu udaktari wa heshima. Kwa kweli masela mtaani tuna sifa maana kama ni kuikuza lugha vijiweni tuko vizuri ...
 
Binafisi mimi katika wasifu huu sioni hoja ambazo zinajustfy hadi kutunukiwa PhD hii ya heshima ni wazi weledi na misingi ya taasisi kama hii ya elimu ya juu havipo tena zaidi ya kufuata matakwa binafisi ya watu na wanasiasa, it have been reached a period where the country is rotten in every where.
Kitendo cha kufanya nchi itulie; watu hawatekwi wala kupigwa risasi, hakuna watu wanatupwa kwenye viroba baharini, watoto waliopata mimba wanasoma, wafanya biashara hawanyang'anywi fedha kinatosha tu kustahili hiyo Honoris Causa
 
Kuna mambo ya ovyo sana barani afrika. especially Tanzania.

Kuna mambo lukuki udsm, wanatakiwa kufanya siyo kupiga porojo za kisiasa...
Kunywa maji utoe stress Mkuu. Mbona unapandisha sukari kwa shahada ya heshima? Achana na UDSM fanya yako kama na wewe una ka Back au ka BA kako
 
Back
Top Bottom