Wasifu (CV) ya Kamanda Simon Sirro

Duh> Hebu tuleteeni hii CV basi. Mi nakumbuka aliwahi kuwa mkuu wa kitengo cha operesheni. Nilianza kumsikia kwenye operesheni kimbunga, ya kukamata wahamiaji haramu. Kuna watu waliita operesheni Siro
Hapo alitoka Mwanza kama RPC akapelekwa Makao makuu Kuwa Mkuu wa Operesheni za jeshi la Polisi ...
 
Kuna mtu alikuwa anahoji PhD ya Dikteta Uchwara "DU" amepotezwa hadi kesho. Na mwingine alisema bombadier imekamatwa hivi sasa tunauguza. Sasa huyo unayemchokonoa ndo wakandamizaji wenyewe wa "DU". Unataka uongezeke kwenye orodha?
Namaanisha kwamba napenda kuja kuwa IGP , NApenda alivyo
 
1981 to 1984
He went Uru catholic seminary o level
1984 to 1987 high school in chemistry, Biology and Geograph at Tosamaganga secondary
1989 he joined UDSm where he studied Education
He joined Policeforce in the early ninetees
 
1981 to 1984
He went Uru catholic seminary o level
1984 to 1987 high school in chemistry, Biology and Geograph at Tosamaganga secondary
1989 he joined UDSm where he studied Education
He joined Policeforce in the early ninetees
Asante mkuu. Barikiwa
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom