Wasichokijua wenye akili fupi na za hovyo hovyo juu ya makelele yenye tija ya Tundu Lissu

Upinzani umeshindwa, nakumbuka kuna mtu aliandika vingereza kule nikamrekebisha kwa kisumbwa, umeongea kitu kizito sana , mwana ccm akisema upinzani umeshindwa muulize kulikua na uchaguzi? Mpinzani akisema mmeambulia kidogo muulize wewe halikuhusu? Hatueleweki tunataka na hatutaki nini?
 
Lissu hakushauri tuwe na timu imara, Lissu alisema tutapelekwa Miga na huko tutaenda kupigwa faini haijawi tokea, labda nikuulize kaka Genta, hilo limetimia?. Yupo yule mwingine anasema tumepoteza capital gain kwa pesa nusu, nimegundua hajui hesabu na mkurupukaji.
 
Wa tz tulikuwa tunadai trilion 425 sasa tumepewa bilion 680 kama 0.2% ya dai letu bado watu wanashangilia yaani badala ya kupewa noah ya milion nane tumepewa 16000 ya kununua fire extinguisher tunashangilia! We need to be examined na huyo sterling wa series!
 
Mtu aliyekuwa anawashinikiza Acacia waishitaki serikali eti naye apongezwe? Mtu aliyekuwa anataka kuona serikali inakwama eti apongezwe?
 
Lissu alikuwa kwenye upande uliokuwa inatamani sana serikali ishindwe. Alituambia kuwa tutanyolewa bila maji, alitaka kuwatia watanzania wote uwoga na hasa Mhe. Mkulu ili tuwaache wazungu wafanye watakalo maana sisi hatuwezi shindana nao. Namwombea uponyaji wa haraka na maisha marefu ili aje aone matendo makuu ya Bwana kkwa nchi yetu naye aje afaidike hata kama sio yeye binafsi lakini watoto wa watoto wake.
 
Tokea mchana baada kukamilika kwa mazungumzo na Wazungu wa Madini wa Barrick na kupelekea utiaji saini wa makubaliano mapya ya usimamizi na malipo stahiki nimekuwa nikipitia Social Platforms nyingi ( JF ikiwemo ) na kugundua kwamba Watu wengi wamekuwa wakimshutumu na hadi kumdhihaki Mbunge Mheshimiwa Tundu Lissu kwa kumuambia kwamba ' ameshindwa ' na mambo mengine mengi.

Ama hakika leo ndiyo niweza kujua kwamba kumbe Watanzania wengi uwezo wao wa ' Kufikiri ' ni mdogo sana na kwamba bado tuna safari ndefu mno ya kuweza kukimbizana na wana Jumuia Afrika Mashariki wenzetu hasa Wanyarwanda, Wakenya na Waganda ambao kiukweli IQ zao zipo juu mno na pengine ndiyo maana wametuacha Kimaendeleo.

Yaani Watanzania badala ya kuchambua hili jambo vizuri tena Kisomi kabisa ili kuonyesha kwamba huko Vyuo Vikuu hatukuenda kupoteza muda au kukua tu wengi wetu tumeacha kujikita katika ' Hoja ' Kuu na ya Msingi na badala yake tumetanguliza mbele itikadi zetu za Kisiasa ( hapa namaanisha UCCM na UCHADEMA ) katika jambo ambalo pengine halihitaji zaidi Siasa ila linahitaji zaidi mjadala mpana.

Kwa wale ' Critics ' wote wa Mheshimiwa Mbunge Tundu Lissu labda niwaambieni tu kwamba mnaweza leo mkamcheka na kumdhihaki Lissu kwa kila aina ya maneno na kashfa ila tambueni kwamba yale ' makelele ' yake au ule ' uropokaji ' wake ambao Mimi nimeubatiza rasmi kwa majina ya ' makelele tija ' au ' uropokaji tija ' ndiyo umepelekea leo hii tumekuwa na haya matokeo ' chanya ' ya mazungumzo marefu na Watu wa Barrick na nadhani Watanzania tulipashwa ' Kumpongeza ' Lissu badala ya kumdhaki hivi.

Hivi mnadhani bila makelele yale / uropokaji ule wa Tundu Lissu Serikali yetu ingejipanga vyema kuandaa Timu yake iliyokuwa chini ya Waziri Profesa Kabudi ili waweze kufanya mazungumzo makini ambaye yangeinufaisha leo hii nchi yetu Kimapato kama hivi ilivyotokea? Siyo kila Mtu anayekupinga au kukusema vibaya ' anakuchukia ' tena kwa Mimi ninavyojua ni kwamba yule Mtu anayekusema au kukukosoa ndiyo mwenye ' mapenzi ' mema na ya kweli nawe kuliko yule ambaye kila mara anakuchekea na kukusifu halafu siku ukija ' kuharibikiwa ' ndiyo anakudharau zaidi.

Ingekuwa ni nchi zingine ambazo zina Watu wenye IQ za kweli na ambazo zinawatosha sawasawa nadhani baada ya haya mazungumzo yaliyozaa ' tija ' na Barrick leo basi tungempongeza na hata kumpa ' Tuzo ' Mheshimiwa Tundu Lissu kwani yale ' makelele tija ' yake ' uropokaji tija ' wake ndiyo umesaidia ' kuchochea ' kuwepo kwa umakini wa mazungumzo na hawa Wazungu wa Barrick lakini bahati mbaya mno Watanzania wengi wenye akili fupi na za hovyo hovyo leo kutwa nzima wanachokifanya ni kumsema vibaya Tundu Lissu na kumdhihaki.

Nikiwa kama Mtanzania ( GENTAMYCINE ) niseme tu kwamba nimefurahi sana kuona kwamba leo kumekuwa na mafanikio ya Tume iliyoundwa na Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli ambayo pia imeleta mafanikio makubwa hivyo angalau sasa Tanzania itakuwa inapata kile inachostahili kutoka katika Rasilimali zake za madini ila nadhani pia hata Mheshimiwa Mbunge Tundu Lissu nae anahitaji kupongezwa kwani sidhani kama bila ' makelele tija ' yake / ' uropokaji tija ' wake leo Tanzania ingefikia hapa ilipofika.

Namuunga sana mkono Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli katika harakati zake za kuiletea Maendeleo Tanzania lakini pia namuunga mno Mheshimiwa Mbunge Tundu Lissu katika harakati zake za kuishtua na kuiamsha Serikali juu ya mambo ambayo ama hawayajui au wanayajua lakini wanataka kuyapeleka ndivyo sivyo. Nilidhani leo kutakuwa na ' mijadala ' yenye ' tija ' badala yake kila nikipita mitaani ' Vijiweni ' na nikitembelea mitandao yetu hii nashuhudia tu akili zile zile ' fupi ' na za ' hovyo hovyo ' kutoka kwa Watanzania ambao bahati nzuri kutwa wanajiita ' Wasomi ' au ' Great Thinkers '.

Watanzania tubadilike Kifikra na Kimtizamo kama kweli tunataka kukimbia Kimaendeleo na Kidemokrasia.

Nawasilisha.
Tuwe tunakubali changamoto tunazopewa na wapinzani wetu bila jazba na visasi.Mpinzani akikupa hoja ni njia kwako kutatua changamoto inayozungumzwa.Hoja hujibiwa kwa hoja.Dhihaka na kejeli hazina tija.Wakati mwingine IPO busara kwa mwendawazimu,mzima anaweza kujifunza
 
Shukran sana Mkuu na kama ujuavyo GENTAMYCINE huwa sipendi ' Unafiki ' siku zote na huwa ' nanyoosha ' tu mstari kwa ' Hoja ' na isitoshe pia Mimi ni kama Bahari ambayo daima huwa haikai na Uchafu.
we ni noma aisee!
 
Ndugu, kwani lisu siasa kaanza jana? mbona kitambo tu, kwanini asinge fanya haya nyuma kabla ya awamu hii ya tano!? tokea mwaka 70, sijui kama sikosei jamaa wamekua wakutunyonya lisu hukuyaona haya kabla?.
ungejiuliza na ccm wameanza kutawala lini mpaka wameyaona haya leo ingekua poa sana.kumbuka head of state alikuwa kwenye cabinet yote haya yakitendeka.
asante
 
Tokea mchana baada kukamilika kwa mazungumzo na Wazungu wa Madini wa Barrick na kupelekea utiaji saini wa makubaliano mapya ya usimamizi na malipo stahiki nimekuwa nikipitia Social Platforms nyingi ( JF ikiwemo ) na kugundua kwamba Watu wengi wamekuwa wakimshutumu na hadi kumdhihaki Mbunge Mheshimiwa Tundu Lissu kwa kumuambia kwamba ' ameshindwa ' na mambo mengine mengi.

Ama hakika leo ndiyo niweza kujua kwamba kumbe Watanzania wengi uwezo wao wa ' Kufikiri ' ni mdogo sana na kwamba bado tuna safari ndefu mno ya kuweza kukimbizana na wana Jumuia Afrika Mashariki wenzetu hasa Wanyarwanda, Wakenya na Waganda ambao kiukweli IQ zao zipo juu mno na pengine ndiyo maana wametuacha Kimaendeleo.

Yaani Watanzania badala ya kuchambua hili jambo vizuri tena Kisomi kabisa ili kuonyesha kwamba huko Vyuo Vikuu hatukuenda kupoteza muda au kukua tu wengi wetu tumeacha kujikita katika ' Hoja ' Kuu na ya Msingi na badala yake tumetanguliza mbele itikadi zetu za Kisiasa ( hapa namaanisha UCCM na UCHADEMA ) katika jambo ambalo pengine halihitaji zaidi Siasa ila linahitaji zaidi mjadala mpana.

Kwa wale ' Critics ' wote wa Mheshimiwa Mbunge Tundu Lissu labda niwaambieni tu kwamba mnaweza leo mkamcheka na kumdhihaki Lissu kwa kila aina ya maneno na kashfa ila tambueni kwamba yale ' makelele ' yake au ule ' uropokaji ' wake ambao Mimi nimeubatiza rasmi kwa majina ya ' makelele tija ' au ' uropokaji tija ' ndiyo umepelekea leo hii tumekuwa na haya matokeo ' chanya ' ya mazungumzo marefu na Watu wa Barrick na nadhani Watanzania tulipashwa ' Kumpongeza ' Lissu badala ya kumdhaki hivi.

Hivi mnadhani bila makelele yale / uropokaji ule wa Tundu Lissu Serikali yetu ingejipanga vyema kuandaa Timu yake iliyokuwa chini ya Waziri Profesa Kabudi ili waweze kufanya mazungumzo makini ambaye yangeinufaisha leo hii nchi yetu Kimapato kama hivi ilivyotokea? Siyo kila Mtu anayekupinga au kukusema vibaya ' anakuchukia ' tena kwa Mimi ninavyojua ni kwamba yule Mtu anayekusema au kukukosoa ndiyo mwenye ' mapenzi ' mema na ya kweli nawe kuliko yule ambaye kila mara anakuchekea na kukusifu halafu siku ukija ' kuharibikiwa ' ndiyo anakudharau zaidi.

Ingekuwa ni nchi zingine ambazo zina Watu wenye IQ za kweli na ambazo zinawatosha sawasawa nadhani baada ya haya mazungumzo yaliyozaa ' tija ' na Barrick leo basi tungempongeza na hata kumpa ' Tuzo ' Mheshimiwa Tundu Lissu kwani yale ' makelele tija ' yake ' uropokaji tija ' wake ndiyo umesaidia ' kuchochea ' kuwepo kwa umakini wa mazungumzo na hawa Wazungu wa Barrick lakini bahati mbaya mno Watanzania wengi wenye akili fupi na za hovyo hovyo leo kutwa nzima wanachokifanya ni kumsema vibaya Tundu Lissu na kumdhihaki.

Nikiwa kama Mtanzania ( GENTAMYCINE ) niseme tu kwamba nimefurahi sana kuona kwamba leo kumekuwa na mafanikio ya Tume iliyoundwa na Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli ambayo pia imeleta mafanikio makubwa hivyo angalau sasa Tanzania itakuwa inapata kile inachostahili kutoka katika Rasilimali zake za madini ila nadhani pia hata Mheshimiwa Mbunge Tundu Lissu nae anahitaji kupongezwa kwani sidhani kama bila ' makelele tija ' yake / ' uropokaji tija ' wake leo Tanzania ingefikia hapa ilipofika.

Namuunga sana mkono Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli katika harakati zake za kuiletea Maendeleo Tanzania lakini pia namuunga mno Mheshimiwa Mbunge Tundu Lissu katika harakati zake za kuishtua na kuiamsha Serikali juu ya mambo ambayo ama hawayajui au wanayajua lakini wanataka kuyapeleka ndivyo sivyo. Nilidhani leo kutakuwa na ' mijadala ' yenye ' tija ' badala yake kila nikipita mitaani ' Vijiweni ' na nikitembelea mitandao yetu hii nashuhudia tu akili zile zile ' fupi ' na za ' hovyo hovyo ' kutoka kwa Watanzania ambao bahati nzuri kutwa wanajiita ' Wasomi ' au ' Great Thinkers '.

Watanzania tubadilike Kifikra na Kimtizamo kama kweli tunataka kukimbia Kimaendeleo na Kidemokrasia.

Nawasilisha.
H
Akhsante sana Mkuu na ni jambo la kheri pia kujua kwamba Mimi mwana CCM tena nisiyejificha kabisa humu JamiiForums GENTAMYCINE leo hii nakubalika tu kwa ' Hoja ' zangu na ' Wapinzani ' wetu wakubwa BAVICHA na CHADEMA yao. Nadhani Siasa za aina hii ndizo tunatakiwa tuzidumishe Tanzania na siyo zile za ' chuki ' na ' majitaka ' Taifa Kwanza Siasa baadae.
Hakuna lolote hapo , hizo kelel zake zilikuwa ni chuki binafsi, sawa kuna kelel zenye mwelekeo chanya au hasi ila laze zilikuwa negative. Najua nyie UKAWA mnatafuta mlango wa kutokea ila sisi hatuna shida tokeeni mlango wa mbele sababu sote ni ndugu ila kama hii issue ingefeli mngekuwa kila kona mnacheza Ndombolo ya solo.
 
SIkupenda watu wamwingize Lissu hapa. Pia sikupenda watu wafanye ulinganishi kati ya juhudi za JPM na kilichoitwa "kelele" za Lissu. Matokeo yameonekana na sote tunajua aliyetusaidia kufika hapa ni nani. Ulimwengu unajua hilo pia. Tena imebainika ya kwamba kilichotokea ni mwanzo tu wa Tanzania mpya na uzatiti wa raslimali zake. Kazi ya Waziri wa Sheria imeonekana, kazi ya Kamati ya Majadiliano imeonekana. Dira ya mkuu wa nchi kuhusu rasilimali za nchi hii imedhihirika. Hatulinganishi, tunaendelea mbele.
Hayo ndo maneno yanayotakiwa kusemwa katika jamii , pande zote zinakuwa zimeridhika . sasa huyu jamaa ndo mwenye IQ kubwa siyo huyo kibaka anakuja na stori za PWAGU na PWAGUZI
 
Mi sidhani kama upo sahihi unaposema "makelele yake ndo yamepelekea haya yaliyo tokea leo " kama nakumbu kumbu nzuri, nakumbuka alishawahi kusema kama siyo yeye basi itakua viongozi wenza wa cdm, kwamba katika hili tutashindwa vibaya mno,, 'au hawakutamka/kutamka hivo?

Basi kama walitamka/alitamka hivo, 'hayo maneno ndo yanafanya ashambuliwe mtandaoni.
Mkuu usiumize kichwa chako huyu jamaa yuko hapa kujikosha tu, aliyoyasema huko nyuma ni mengi tena ya ovyo, maana kuona akili zake za panzi simeshindwa anakuja na ishu za IQ kweli nimeamini ushamba ni mzigo.
 
ungejiuliza na ccm wameanza kutawala lini mpaka wameyaona haya leo ingekua poa sana.kumbuka head of state alikuwa kwenye cabinet yote haya yakitendeka.
asante
Asante a nini wewe, kwani alikuwa na sauti ya kukataa jambo , hivi viroba si vimeshapigwa marufuku mbona hawa watu bado wamo humu au ni gongo inaongea
 
m
Mbona hushangai kuna Wanaume ambao wanajua kabisa kwamba Wake zao wamekuwa ' wakiwasaliti ' miaka hata 20 iliyopita lakini wanaamua ' Kutalikiana ' nao leo / mwaka huu? Hapa nataka kumaanisha nini yawezekana labda hata huko nyuma kiwango cha ' Kunyonywa ' kwa Rasilimali zetu hakikuwa kama hiki cha sasa lakini pia Mimi na Wewe hatujui kwani yawezekana huyu huyu Tundu Lissu labda amekuwa akishauri katika Taasisi muhimu na nyeti za Serikali hasa za awamu zilizopita lakini akapuuzwa hivyo kwa kuwa na ' uchungu ' zaidi kama Mtanzania basi akaona kwamba kwa awamu hii ngoja tu ajitoe ' mhanga ' kupigania ' Rasilimali ' zetu na ndicho amekuwa akikifanya hadi ' matatizo ' haya yalipomkuta.
tu mwenye IQ kubwa hawezi kufikili kama wewe unavyofikili , sasa ndo tunaanza kuona upeo wako wa kufikili unaishia wapi
 
Lissu hakushauri tuwe na timu imara, Lissu alisema tutapelekwa Miga na huko tutaenda kupigwa faini haijawi tokea, labda nikuulize kaka Genta, hilo limetimia?. Yupo yule mwingine anasema tumepoteza capital gain kwa pesa nusu, nimegundua hajui hesabu na mkurupukaji.
Waeleze hawa akili ndogo
 
Back
Top Bottom