Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Habari wanaJF,
Sio siri kuna wasichana wenye uzuri wa maumbo na sura lakini katika mahusiano dada zangu mnafeli jambo moja tu nalo ni kauli zenu zimekuwa sio za kuvutia wala kuhamasisha. Yaani kuna mabinti wanaongea kisela sana.
Mfano unaweza kupishana kauli na mpenzi wako lakini anaweza kukutumia text yenye maneno kama "Oya nakuja ghetto kwako tuongee kiume" Sasa hapo mtu unashindwa kuelewa unakuja kuongea na mwanaume mwenzio au nani.
Tafadhali badilikeni kauli zenu zinawakosesha ndoa.
========================================
Nyingine hii: Kutoka waka kuu Born 2 Be Wild
=============
Pia mkuu pakaywatek kakutana na hii:

Eti "Unazingua kutuma hela ama?" Yaani ni kama hela ipo tu kwaajili ya kuliwa.
=============
Pia mkuu pakaywatek kakutana na hii:
Jana mmoja akaniambia naomba tukutane nina maongezi na wewe lakini kwa bahati nzuri nshamjua ukisikia naomba tukutane tuongee hapo anataka chapaa, sasa nami nikamjibu kuwa najua shida yako text tu unataka sh ngapi, akajibu akanitext ana shida ya laki mbili nikamjibu anipe siku mbili nitamtekelezea hitaji lake, JIBU alilonipa hadi nikabaki kucheka eti WEWE MWANAMME GANI mpenzi wake akihitaji pesa unamwambia asubiri baada ya siku mbili uniwezieee!!? Kweli nilichoka ikabidi nitoe aibu nikamtumia lakini nikamtext kuwa sikuwezi na ndo mwisho wetu.