Wasichana wenye degree na kazi nzuri wanaona hizo ndio ulinzi kwenye mahusiano/ndoa

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,097
Mungu awasaidie wasichana hasa wenye level za degree,na kuwa na kazi ambayo wao wanaiona kuwa ni nzuri, wametokea kuziamini sana degree na kazi zao kama ndio kinga au ulinzi katika mahusiano/ndoa zao.

Wakiamini kwamba waume zao hawawezi kuchepuka eti kwa sababu ya elimu na kazi na mishahara wanayopata lakini ndo wanaoongoza kwa kuzaa ovyo watoto wasio na baba.

Na hii ni kwa sababu wametegemea elimu zao wakamuacha Mungu na walipoona majamaa wa degree wenzao wamewasaliti,wakaamua kuingia kwa wa form 4/6 wakizani ndoa itadumu kwamba wa form 4 ataogopa kumsaliti kwa sababu labda eti wana degrees na kazi nzuri.

Na hatimaye kumejikuta huyohuyo wa form 4 ndo amechepuka,tena kwa binti wa kawaida kabisa na ndipo sasa uchungu wake wanatamani hata wangezikwa wazimawazima.

Maana sasa wanajiona wamekwishapoteza thamani tena ingawa umri wao bado.

Lakini bado natoa wito, ili thamani yako irudi,mrudie Mungu ili yeye awe mlinzi na mtetezi wako. Yeremia15:19-22.
 
Hawataki Kwenda Knsn, Wala Kwny Mikutano Ya Injili, Sasa Nimeamua Kuwafuata Niwagonge Nyundo Hukuhuku Jf

Na Mabinti Wanajua Kabsa Sasa Hivi Ukishakuwa Na Mtoto1 Au2, Hata Kama Una Miaka 25, Kuolewa Tena Ishu.

Lakini Nataka Niwaambie Mabinti Kama Mtamrudia Mungu , Yeye Atawavika Heshma,na Thamani Yake, Ndipo Utakapopata Kibali.
By Pastor
 
Teh teh..srry pastor..we umeoa??
 
Aahhaaahaaa... Pastor . Kwa kweli Mungu azidi kukutumia for His Glory ..In Jesus name.. Amen. Naomba one day Tupe Seminar ya Relationship, Uchumba na Ndoa. I pray that The Holy Spirit will lead and speak to you about topics in Jesus name Amen. I'm wait on that day .. Thanks..
 
Aahhaaahaaa... Pastor . Kwa kweli Mungu azidi kukutumia for His Glory ..In Jesus name.. Amen..Thanks..

Amen! Loveissweet, Mungu Ndiye Alinituma Kuingia Humu Jf, Ki Ukweli Uchungu Unaotokana Na Usaliti/michepuko Ya Kimahusiano Ni Mkubwa Kuliko Hata Uchungu Wa Kufiwa Na Ndugu.

Biblia Inasema Uzuri Wa Mwanamke Sio Sura,wala Mapambo, Bali Ni Yule Anae Mcha Mungu ( MITHALI 31:30).

KAMA UNATAKA USHAURI ZAIDI NI PM.

MUNGU AWABARIKI WOTE JF
 
Its true Pastor .We need revival for the Hope and all come from Jesus.. Amen.. I'm living as the testimony . I can't Thank God enough for what He has done through my life.. Acha tuu nimuabudu Yeye tuu , He is only God I have been known through Trials, Victory, Sadness, and Happiness ..Thank you Jesus for the Cross.. Amen. He is a Merciful God . I'm gonna worship Him , I'm gonna Glorified Him, I'm gonna keep singing for Him and I'm gonna live for Him because He is my Emanuel.. Amen. Thanks.
 
Hawataki Kwenda Knsn, Wala Kwny Mikutano Ya Injili, Sasa Nimeamua Kuwafuata Niwagonge Nyundo Hukuhuku Jf

Na Mabinti Wanajua Kabsa Sasa Hivi Ukishakuwa Na Mtoto1 Au2, Hata Kama Una Miaka 25, Kuolewa Tena Ishu.

Lakini Nataka Niwaambie Mabinti Kama Mtamrudia Mungu , Yeye Atawavika Heshma,na Thamani Yake, Ndipo Utakapopata Kibali.
By Pastor
Humlishi mtu nyoka hapa, hii JF bana!
 
its true pastor .we need revival for the hope and all come from jesus.. Amen.. I'm living as the testimony . I can't thank god enough for what he has done through my life.. Acha tuu nimuabudu yeye tuu , he is only god i have been known through trials, victory, sadness, and happiness ..thank you jesus for the cross.. Amen. He is a merciful god . I'm gonna worship him , i'm gonna glorified him, i'm gonna keep singing for him and i'm gonna live for him because he is my emanuel.. Amen. Thanks.

amen...
 
Amen! Loveissweet, Mungu Ndiye Alinituma Kuingia Humu Jf, Ki Ukweli Uchungu Unaotokana Na Usaliti/michepuko Ya Kimahusiano Ni Mkubwa Kuliko Hata Uchungu Wa Kufiwa Na Ndugu.

Biblia Inasema Uzuri Wa Mwanamke Sio Sura,wala Mapambo, Bali Ni Yule Anae Mcha Mungu ( MITHALI 31:30).

KAMA UNATAKA USHAURI ZAIDI NI PM.

MUNGU AWABARIKI WOTE JF

Teh teh..pastor pm yako kumbe nawe iko active..kamata fursa hiyo
 
Its true Pastor .We need revival for the Hope and all come from Jesus.. Amen.. I'm living as the testimony . I can't Thank God enough for what He has done through my life.. Acha tuu nimuabudu Yeye tuu , He is only God I have been known through Trials, Victory, Sadness, and Happiness ..Thank you Jesus for the Cross.. Amen. He is a Merciful God . I'm gonna worship Him , I'm gonna Glorified Him, I'm gonna keep singing for Him and I'm gonna live for Him because He is my Emanuel.. Amen. Thanks.

Same here..there are some events in my life only God attended..I cant thank him enough...by the way we inabidi uwe muke ya pastor..mnaendana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom