Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Wana swaga za kishamba na njaa kali ukimsalimia tu anageuka yatima anakufanya foundition au NGOs wanajiabisha kwakweli. Swagga hizo wakawale wengine lakini sio hapa mjini Dar es Salaam, wamefeli wabadilike.

20170827_060945.png

20170827_060857.png



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si bora huyo 15000
Mimi niligundua mwanaume wa mtandaoni ukitaka umkatae kijanja mpe jiwe
huwa sikukatai ila ukisogea tu naanza na iphone
Wengi huishia matusi tu....mie roho yangu burudanii
Akufukuzae hakwambii toka! JIongeze dogo
 
mapovu yanawatoka yaani kuna demu niliomba zigo akaelewa kutaka kupakua app akasingizia ngoja amalize pepa nikatulia siku....hiyo hiyo akaomba hela ya kusukia nikamkadiria nikampa kidogo baada ya siku kamaliza pepa nikaenda kumpitia chuo tukapitia kkoo kwenda home anasema hajajiandaa siku ingine mara bado mapema nikamwambia mbona khs vocha,hela ya kusuka hukusubiri upite mwaka ndo uanze kuomba?huku wiki moja nyuma kashaomba hela ya mkoba, bando la chuo ndo usiseme na mm kila alichoomba nikawa namwambia mwisho wa mwezi nilimtelekeza kkoo hata nauli sikumpa alitukana kinoma nikamwambia mbwa kala mbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom