Wasichana watatu wanatafuta kazi

elimuplatform

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,054
462
Wanatafuta kazi Mmoja za Bar, mwingine mgahawa, hotel au duka na wa mwisho kazi za ndani kwa mawasiliano zaidi 0658-154647 Wote wapo Dodoma
 
Hapo kwa huyo anayeweza kufanya Kazi za ndani ingependeza zaidi kama ungeniwekea hapa Picha yake ili nimtathmini nijue kama anaweza akawa msaidizi Mkuu wa Mke wangu pale akiwa anaumwa au amenisaliti au amejisahau au amepunguza mahaba yake Kwangu. Hawa Wake zetu wa siku hizi dawa yao ni Kuajiri tu ' Hausigeli ' matata na mrembo sana ili wajirekebishe na waongeze ' ubunifu ' wao hasa Kitandani.
 
Duh yupo vizuri tatizo hiyo intention yako si mchezo. Kesho mapema siti ya mbele tayari kwa kutubu
 
Back
Top Bottom