Wasichana/Wanawake waliowahi kuwatongoza wanaume njooni mshuhudie

Kwangu miye huwa inanipa taabu sana kulilea penzi la namuna hii.
Huwa nawaza sana,hasa nikitambua kuwa ni ni binadamu huenda siku moja nikateleza ktk mfumo wetu wa kimahusiano. Hilo likitokea asilimia kubwa kwa huyu binti ama mdada husika hatoweza kunielewa kwa asilimia 100.
Atakacho kiwaza ni kuwa nimeyatenda nayo kwa maksudi na si bahati mbaya kwa kigezo kuwa yeye ndiye aliye anzisha safari yetu kwa kunitamkia kunipenda.
Sasa ili kujiepusha na hayo huwa najitahidi sana angalu kuto jiingiza kwenye mahusiano ya mwanzo huo kwa kuhofia tu kuwa naahusiano yasiyo kuwa balanced. Inakuwa mnaishi kama kwa hofu ya kutoonekana kumkwaza mwingine ambako kutaonekana kuwa ni maksudi.
 
Bebe rafiki kuliwa mzigo na nani mwingine zaidi yako?
Nakusubiri wewe tu
Nawe ukinikataa nakuwa 'sista'
Waoooooo rafiki babe!!! ....hayo majibu yako yameufanya moyo wangu umekuwa mwepesi hadi nimepaa!! ........i never believe that one day i could fly!!
 
Back
Top Bottom