Wasichana/Wanawake waliowahi kuwatongoza wanaume njooni mshuhudie

Nishazoea mbona yani ukunitongoza wala sistuki kabisa nakuchora unavopiga mistari Ukiniona unang'ata Lips eeeeh na Macho yanazimikaaa unaumwaaaaa
 
Huwa nawaogopa sana wanawake wanaonitokea aisee hahahhah ni ving'ang'anizi balaa

Anaweza kukuua hivi hivi kisa mapenzi
 
Dah mara yakwanza kutamkiwa na demu kama ananipenda nakumbuka nilikuwa na miaka kama 10 ivi, aisee nilijiskia wapekee sana, yani yule demu alikuwa mkubwa kwangu kama miaka 4 mbele, basi akawa ananiambia yale maneno huku ananishika kidevu mara anipapase, aisee wanawake wanajua kutongoza sana..
Ila baadae nilikuja kuona ni vitu vya kawaida baada ya kujitokeza wengi nikaanza kuwakataa sasa
I bet una muonekano mzuri sana
 
Kuna mmoja mm bado ananiuliza alinitamkia nikamuuliza Kwa nini amenipenda lkn mpaka Leo hii anasema eti Nina dharau!
Hawa wanawake wana visa kweli
We nae wanaume huwa hawaulizi hvyo viswali bhana.
Kumwambia mwanamme nnakupenda si tatizo, tatizo mnawavulia chupi kabla ya ndoa.

Hata zamani tukijuwa kupenda tena sana kuliko hizi I love you I love you zenu za siku hizi za kinafik. Lakini hatukuthubutu kumfungulia mwanamme kufuli kabla ya ndoa. Thubutu eti aku kiss.

Nakupenda zetu ziliishia kwenye makaratasi na kutumiana picha tu. Akiweza analeta posa mnaoana, kama hawezi imekula kwake akajichue huku anaikodolea picha.

Tukioana mwanamke bikra mwanamme bikra, raha ilioje. Wote hamjui muanzie wapi na kufundwa kote lakini thubutu ufunguwe paja lako siku za mwanzo, lazima ahenyeke.

Hakika wanawake tulikuwa na thamani isiyo na mfano, tunawasikitikia sana mabinti wa leo mnaoona kujiweka nusu uchi ndiyo mmeendelea.
Kwel kabisa dada faiza
 
Mm nilikuwa nafuatilia nione umemtongozaje kumbe ulimwambia nakupenda tu!!Wewe haukutongoza ulijirahisisha!!

Ili umtongoze mwanaume msome kama amevutiwa na wewe!!Hii itakuweka ktk nafasi ya kujua ujiweke kwenye kundi la kugegedwa tu au relationship ya maana

Asilimia kubwa ukimtongoza mwanaume tarajia kugegedana kisha mpotezeane!!Watakuambia hawajavutiwa hapana!!Wengi huchukulia ni umalya kutongoza mwanaume...pia wanaume wengi hawajifil safe kuwa na wanawake waliowatongoza...
 
Ila wanawake mkikataliwa mnakua na roho mbaya sana nakumbuka miaka ya nyuma nilitongozwaga na head girl nikamkatalia yan chamoto nilikiona isitoshe mamaake alikua mkuu wa shule
 
Mi msichana akinitongoza tu hata hisia zinakata kwake ila kimbembe huwa kinakuwa pale ninapompenda msichana na kuamua kumtongoza, dah huwa hawanipendi kabisa sijui nina damu ya kunguni?

inaonekana unapenda wanawake High class na status yako haipo Juu au ww not handsome jaribu wa low class uone tofauti
 
Back
Top Bottom