Wasichana/Wanawake waliowahi kuwatongoza wanaume njooni mshuhudie

nataka original chagas bhana, ila nakuzingua tu mie ninae wangu STUNTER ananitosha.

sisi tulipendana tangia tukiwa tumboni
unaona jaribu uone kama nitakataa, nisipo kataa unamwambia huyo jamaa n bahat mbaya tu, ulikua unajaribu alafu sikukataa
 
Habari wakuu,

Enzi za wazazi wetu ilikuwa ngumu sana kwa msichana kumwambia mwanaume nakupenda.

Ila siku hizi kwa msichana kumwambia mwanaume nakupenda imekuwa ni kawaida.

Na hii imesababishwa na utandawazi, lakini imesaidi wasichana nao kueleza hisia zao kwa wanaume wawapendao.

Tuje kwa yaliyowahi nikuta;

Nimeamua kuandika haya kwakuwa yalinikutaga kabla sijampata baba watoto wangu..ilikuwa hivi;

Nilitokea kumpenda kaka mmoja tena alikuwa na umri kunizidi, nikawa najaribu kuwa karibu nae nikihisi kuwa angekuja kuniambia ananipenda ajabu ni kuwa haikuwa hivyo, siku zikaenda.

Siku moja tukiwa hoteli fulani nilimuona, nilimfuata na tukawa tunaongea namna ya kufanya (marketing) basi nikapata chance tukabadilishana namba na ndio ikawa mwanzo wamawasiliano, mwishowe tukawa tunatoka naye.

Nakumbuka siku hiyo tukiwa katika gari nilishindwa kujizuia nikajikuta nishamwambia nampenda, alinikiss na mapenzi yakaanza..nilichukia kutongoza ila ndio hivyo ''penzi ni kikohozi ukilificha huliwezi''.

Nifupishe tu...Mwishowe niliona hanipendi na alikuwa haonyeshi kujali hisia zangu..niliumia sanaa..nililia na kujuta kumwambia nampenda.. kwakuwa ilikuwa ngumu kumtoa moyoni ila nikaamua kumuacha kwa shida sana.

Nawasilisha
Pole sana
 
Iv na nyinyi wanawake tukiwatongoza mkikubali, je mnakuaga na mapenzi ya kwelii au ni tamaa tu kama sisi wanaume maana mara nyingi mnatunyanyasa?
 
Habari wakuu,

Enzi za wazazi wetu ilikuwa ngumu sana kwa msichana kumwambia mwanaume nakupenda.

Ila siku hizi kwa msichana kumwambia mwanaume nakupenda imekuwa ni kawaida.

Na hii imesababishwa na utandawazi, lakini imesaidi wasichana nao kueleza hisia zao kwa wanaume wawapendao.

Tuje kwa yaliyowahi nikuta;

Nimeamua kuandika haya kwakuwa yalinikutaga kabla sijampata baba watoto wangu..ilikuwa hivi;

Nilitokea kumpenda kaka mmoja tena alikuwa na umri kunizidi, nikawa najaribu kuwa karibu nae nikihisi kuwa angekuja kuniambia ananipenda ajabu ni kuwa haikuwa hivyo, siku zikaenda.

Siku moja tukiwa hoteli fulani nilimuona, nilimfuata na tukawa tunaongea namna ya kufanya (marketing) basi nikapata chance tukabadilishana namba na ndio ikawa mwanzo wamawasiliano, mwishowe tukawa tunatoka naye.

Nakumbuka siku hiyo tukiwa katika gari nilishindwa kujizuia nikajikuta nishamwambia nampenda, alinikiss na mapenzi yakaanza..nilichukia kutongoza ila ndio hivyo ''penzi ni kikohozi ukilificha huliwezi''.

Nifupishe tu...Mwishowe niliona hanipendi na alikuwa haonyeshi kujali hisia zangu..niliumia sanaa..nililia na kujuta kumwambia nampenda.. kwakuwa ilikuwa ngumu kumtoa moyoni ila nikaamua kumuacha kwa shida sana.

Nawasilisha
Ingekuwa ni Mimi umeniambia nisingekuacha hadi kiyama. Mimi sipendagi kudhania dhania kuwa napendwa, nnachopenda ni kuthibitishiwa kwa maneno na matendo. Usijute, hukufanya kosa kumuambia, hukujua unayemuambia ni wa taipu gani. Huyo ni miongoni mwa wanaume wanaopenda kusumbuliwa na kuchunwa sana ndo waamini kuwa wanapendwa.
 
Natamani ningekuwa ndio nimekwambia wewe..
 
tatizo wanawake hudengua sana, yani mpaka ujibebishee, umpe maneno ya kihindi wakati wanawake wako milion 3 na wanaume wako million 1
Kwa sensa ipii.,Hizo assumptions zinawaponza sanaa.,kudengua muhimu
 
Habari wakuu,

Enzi za wazazi wetu ilikuwa ngumu sana kwa msichana kumwambia mwanaume nakupenda.

Ila siku hizi kwa msichana kumwambia mwanaume nakupenda imekuwa ni kawaida.

Na hii imesababishwa na utandawazi, lakini imesaidi wasichana nao kueleza hisia zao kwa wanaume wawapendao.

Tuje kwa yaliyowahi nikuta;

Nimeamua kuandika haya kwakuwa yalinikutaga kabla sijampata baba watoto wangu..ilikuwa hivi;

Nilitokea kumpenda kaka mmoja tena alikuwa na umri kunizidi, nikawa najaribu kuwa karibu nae nikihisi kuwa angekuja kuniambia ananipenda ajabu ni kuwa haikuwa hivyo, siku zikaenda.

Siku moja tukiwa hoteli fulani nilimuona, nilimfuata na tukawa tunaongea namna ya kufanya (marketing) basi nikapata chance tukabadilishana namba na ndio ikawa mwanzo wamawasiliano, mwishowe tukawa tunatoka naye.

Nakumbuka siku hiyo tukiwa katika gari nilishindwa kujizuia nikajikuta nishamwambia nampenda, alinikiss na mapenzi yakaanza..nilichukia kutongoza ila ndio hivyo ''penzi ni kikohozi ukilificha huliwezi''.

Nifupishe tu...Mwishowe niliona hanipendi na alikuwa haonyeshi kujali hisia zangu..niliumia sanaa..nililia na kujuta kumwambia nampenda.. kwakuwa ilikuwa ngumu kumtoa moyoni ila nikaamua kumuacha kwa shida sana.

Nawasilisha
hehhehe dah
 
Back
Top Bottom